Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,113
Wazee wa mlingotini walisikia kilio cha madereva wa daladala. Naambiwa hapa, kilizima gafla na wataalamu walipokuja kukitengeneza hawakuona tatizo. Na hakiwaki mpaka leo.Sijui hilo mimi na wakaazi wenzangu wa bagamoyo tunalilia kivuko chetu tu