[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134]Meli ya mwendokasi,Dar~Bagamoyo masaa 8
Bagamoyo kila weekend nakuja huko mkuu.. Poleni sana shemeji zangu (nimeoa kwenu bagamoyo)Mkuu sisi wakaazi wa bagamoyo tunapata sana shida ya usafiri hivyo kukosa hiyo meli ni pigo kubwa kwetu ukitilia maanani hiyo meli bado ni mpya kabisa
Tunaiomba serikali ilitupie macho hili ombi letu ili tuendelee kufaidi matunda ya kivuko chetu hiki imaraBagamoyo kila weekend nakuja huko mkuu.. Poleni sana shemeji zangu (nimeoa kwenu bagamoyo)
Hayo ndo mambo ya serikalo yetu hii... Unifinished business
[emoji3] [emoji23] [emoji30] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu sisi tunalilia mv dsm tu ukizingatia ni meli mpya na thamani kubwa na ya kifahali