Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

Nahet kobet
 
Nahesh sebet
 
Inauma akini myahudi Ni mwongo he can't be trusted
 
Na pia kwenye historian inasemekana Australia ilikuwa inakaliwa na watu weusi ila wazungu wakawaua
 
Na pia kwenye historian inasemekana Australia ilikuwa inakaliwa na watu weusi ila wazungu wakawaua
Sio inasemekana,hilo ni jambo lililo wazi kabisa kila mtu conscious analijua.

Waingereza waliingia hapo nusu ya pili ya karne ya 18,watu wenye asili ya bara Afrika walikua tayaru wameshafika huko kitambooo.
 
Vigelele imeandikwa kwenye Biblia.Akina Mama walipiga vigelegele.Makanisani hadi hii leo hupiga vigelegele.Huo ni utamaduni wetu bila shaka yoyote.
 
Wazungu kwa fitina na wivu wamefanya kula jitihada kutudhoofisha sie superior black race the chosen one by God baada ya kugundua uwezo wetu na upendeleo aliotupa Mungu but hakuna kitu kitadumu milele ukweli utadhidi kuwekwa wazi ni suala la mda tu,ni kama kesi ya Yusufu na nduguze ndo inatuponza.Pili Mungu aturehemu sana wake kama babu zetu hawakufuata amri zake turejee kwenye enzi yetu ya ustawi kama kale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…