Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,027
- 3,565
Sasa hapo we unahofia nini. Maana kilichokufanya mpaka sasa uwe hujaoa ndo hicho kilichomfanya mpangaji wako awe hajaoa. Au ratiba ya usafi njehata mm sikupangishi na hapa nilipo sijaoa lakin wapangaji wangu lazima wawe wameoa