Wamiliki wa nyumba kwa kutopangisha wasiooa mnazingua

Wanazingua sana wenye nyumba nimekutana nyumba si chini ya tatu wakisema hivyo wanafikiri kuoa kama kupoint nguo
 
Kuna mama mmoja nilienda kupanga kwake akanipa sharti niwe na mke kama sina mke nichangie buku ya usafi wa choo kila siku dah nikapotezea
 
Nyumba nlotoka kuhama nlifanyiwa fitina na mama mwenye nyumba ili nihame.Hataki mabachelor katuhamisha wote.
 
nlkua naweza ku afford chumba hata cha laki (shinyanga) lkn nliishia kukaa chumba cha af15
but nliinjoy make nlkua sjawah ku expiriance kukaa na wapangaji zaidi ya kumi 😂😂😂

Ila according to utafiti nlofanya wamiliki wa nyumba wanao ishi papohapo na wapangaji ndio hawataki mabachela!!
 
Hivi nyie wamiliki wa nyumba mmekuaje? Kwa hili mnazingua sana shida yenu ni pesa au??

Toka last week nahangaika sehemu ya kupanga, nimenda almost sehem 3 eti mwenye nyumba anakwambia hapangaishi kwa vijana ambao hatujaoa sasa sisi tuna nini?

Kwamba hatulipi kodi??. Maendeleo hayana chama hivi ndo huu utararibu upya umeanza au?
Labda wana vibinti mapepe. Au hawana imani na wake zao.
 
Kwani wamekwambia upeleke cheti cha ndoa,we wambie umeoa wapatie kodi yao halafu ishi kistaarabu watabadili mawazo yao ya kijinga kufikiria kila bachelor ni muaribifu
 
Ila kama unataka uishi vzuri usikae na mwenye nyumba sehemu moja...jamaa angu aliwahi kuacha kodi yake kisa mwenye nyumba kila siku saa 2 asubuhi anazima main switch mpk jioni kama mgao wa umeme na pesa ya umeme wanachangia 15k kila mwezi.
 
Kuna baadhi ya wenye Nyumba masharti yao kwa kweli hayana Msingi hata kidogo.

Mtu anakulipa chako hayo mengine wewe Mwenye Nyumba hayakuhusu.

Kama mpangaji wako anakula BATA, mwache ale BATA ilimradi tu hakudhuru, na akubugudhi.

Kama ni Mtu wa kujiachia, mwache ajiachie.

Maisha tu haya
Mie mtu akitaka kupanga kwenye nyumba yangu, swali la kwanza aniambie shughuli yake halali inayompatia riziki.
Basi watafuta nyumba wengi "wananichukia" kwa hilo. Sipendi kuwa na mpangaji mfano anategemea kuuza Kei au bhangi au hata mambo ambayo sio ya halali
 
Hivi nyie wamiliki wa nyumba mmekuaje? Kwa hili mnazingua sana shida yenu ni pesa au??

Toka last week nahangaika sehemu ya kupanga, nimenda almost sehem 3 eti mwenye nyumba anakwambia hapangaishi kwa vijana ambao hatujaoa sasa sisi tuna nini?

Kwamba hatulipi kodi??. Maendeleo hayana chama hivi ndo huu utararibu upya umeanza au?
Pole japo hii thread yako inatia mashaka, kwa kuwa kuna hii hapa inaonesha umepanga tayari
https://www.jamiiforums.com/threads/nyie-mnao-wapangia-nyumba-wake-zenu-wanaliwa-huku.1621640/
 
Mkuu tafuta nyumba wanazokaa mabaria tupu mnakaa ila kuonana ni baada ya miezi kadhaa
 
Unasemaje hujaoa asee? ukifika nenda kiheshima sema Umeoa na mkeo mnakuja nae,Mpe HELA ya mwaka mzima kisha muage kwa heshima ikibidi hata goti piga (akili kumkichwa)

Ukiondoka ukileta vyombo unaingiza usiku wa saa 8 hv kila mtu kalala,Hamuonani na faza house hata wiki nzima maana unatoka asubuhi unarudi usiku,na hawezi kuku uliza eti MKEO YUKO WAPI? ikitokea kakuuliza mwambie yupo ndani anatumbo la bleed linamsumbua,hawezi kwambia ebu nikamuone.

Kaa hiyo nyumba kimachale kwa miezi hata miwili (Hapo unampa taiming ya yeye kuila kodi) baada ya mwezi ukishaona faza house kodi hana,Muonyeshe makucha yako..Akikuuliza mkeo yuko wapi (mjibu kasafiri),yani kua zako na adabu na endelea na maisha yako,akizidi kuku uliza uliza mchane makvu (dingilai mke wangu wanini ase mbona sikuelewi)

Atakausha na atakoma kuku uliza uliza.

NOTE:

Hakikisha hata kama hajamuona mkeo usije ukaleta demu home,kula vimeo vyako huko huko njiani,usilete nyumbani vimeo.

Hakikisha umesoma mkataba vizuri kusiwe na kipengele kimesema "marufuku mpangaji asie na mke" kama mashari yapo mengine ila hicho kipande hamna (TAMBA SANA HANA LA KUKUFANYA) ila kama kuna hicho kipengele aseee sikushauri hata UFATE USHAURI WANGU HAPO JUU.
 
Ahsante mkuu inaonesha ww mtaalam sana
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom