BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,218
- 39,046
- Thread starter
- #41
Kutembea na wake zetu
Mke analiwa kama hajielewi, mpangaji naingiaje
Kutembea na wake zetu
Labda Wana Watoto Wa Kike
WanakulaWanazingua, huko nje hawaliwi??
Upuuzi tu.Na sifa ya mabaharia ni kusaidiana kama hivyo
Kila Abiria Achunge Mzigo Wake HapoWanazingua, huko nje hawaliwi??
NDO MAANA MIMI NIMEAMUA NIENDELEE KUKAA HAPAHAPA HOME NIGOMBANIE REMOTE NA MZEE
We unapanga nyumba za aina gani mkuu? Mwenye nyumba anakuwa anaishi hapo hapo, ama?
Mbona sehemu ninazozijua mimi wamiliki wanaprefer bachelor, tena mmoja aliweka sharti la kuwa hapokei kijana aliyeoa wala single lady?!
Very weird..... Ni nyumba yenye wapangaji wengi sana na wa muda mrefu?Mwenye nyumba hakai ila sijui why
Very weird..... Ni nyumba yenye wapangaji wengi sana na wa muda mrefu?
Kuna baadhi ya wenye Nyumba masharti yao kwa kweli hayana Msingi hata kidogo.
Mtu anakulipa chako hayo mengine wewe Mwenye Nyumba hayakuhusu.
Kama mpangaji wako anakula BATA, mwache ale BATA ilimradi tu hakudhuru, na akubugudhi.
Kama ni Mtu wa kujiachia, mwache ajiachie.
Maisha tu haya
Hamfanyi wachafu wakubwa ninyi
Unaweza kuwa unasafisha chumbani kwako ila mazingira mengine ya nyumba unaona hayakuhusuMe msaf sana, ukiingia gheto langu lazma uulize wapi uweke mkoba wako
Wakomeshe kwa kujenga yako, hata kama chumba kimoja.