Wamiliki wa nyumba kwa kutopangisha wasiooa mnazingua

We unapanga nyumba za aina gani mkuu? Mwenye nyumba anakuwa anaishi hapo hapo, ama?

Mbona sehemu ninazozijua mimi wamiliki wanaprefer bachelor, tena mmoja aliweka sharti la kuwa hapokei kijana aliyeoa wala single lady?!
 
Mwenye nyumba hakai ila sijui why
 
Kuna baadhi ya wenye Nyumba masharti yao kwa kweli hayana Msingi hata kidogo.

Mtu anakulipa chako hayo mengine wewe Mwenye Nyumba hayakuhusu.

Kama mpangaji wako anakula BATA, mwache ale BATA ilimradi tu hakudhuru, na akubugudhi.

Kama ni Mtu wa kujiachia, mwache ajiachie.

Maisha tu haya
 
Kabisaa kuna wengine wanakupa mashart hawataki kuona unaongiza wanawake, sasa unajiuliza wanataka niingize kuku au
 
Back
Top Bottom