BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,218
- 39,042
Hivi nyie wamiliki wa nyumba mmekuaje? Kwa hili mnazingua sana shida yenu ni pesa au??
Toka last week nahangaika sehemu ya kupanga, nimenda almost sehem 3 eti mwenye nyumba anakwambia hapangaishi kwa vijana ambao hatujaoa sasa sisi tuna nini?
Kwamba hatulipi kodi??. Maendeleo hayana chama hivi ndo huu utararibu upya umeanza au?