Wamiliki wa mitandao ya kijamii wanapataje hela

Huu mtandao wa kucbadilishana ujumbe wa maneno, picha na video, wamiliki wake wanapataje pesa?

Wenye makampuni ya simu wanawalipa kwa kila mtumiaji simu anayetumia hiyo software yao kwenye mtandao wao kama ni voda,tigon.k.Wewe unachajiwa na kampuni ya simu yako kwa kukukata kwenye vocha yako.Ndio maana ukiwa hela huna kwenye simu utakuta haufanyi kazi.
 
wana convert vipi airtime kuwa cash?
 
Bujibuji kauliza swali kwa kiswahili.. Majibu yanakuja kwa kiingereza jamani sie wengine lugha gongana hapo.. Nadhani tungeweza wote ku-google ili kupata hayo majibu lakini lugha hatuielewi.. Naomba kufahamishwa kwa kiswahili maana na mie ningependa kujua..
 
Last edited by a moderator:
Wanafanya data mining, then wanauza hiyo data kwa other advertising/service/manufacturing companies
 
kuna usemi, if you are not sold anything and you are not paying for a service,then your are the product.

- kwa ufupi Whatsap ni product simple sana,kitechnologia,ila imeprove kuwa extreemly easy to use and adopt.so wanachukua data zako na kuuza kwa advertisers etc,kwa nchi za ulaya na marekani,

kwa sasa wa huku Africa na nchi nyinginezo maskini,

Data zetu zinalipiwa na makampuni ya Kijasusi ya Marekani na Ulaya,kupata taarifia za watu,kwa shughuli za usalma hasa kwa watu ambao ingekuwa ngumu kupata taarifa za mfano mtanzania anayeishi nanjilinji, sasa wana picha yake na namba yake ambayo imesajiliwa ttCRA,

hivyo basi ukifanya zengwe ambalo wanataka kukupata ,wanatafuta data zako hapo,alafu wanahamia ttcra,alafu wanaenda tigo or voda or airtel,wanapata sauti yako na vitu vinginevyo,

hii ilitokana na ulipuaji wa Osama 9/11 . Marekani na wenzao waliazimia kuweka mfumo unaitwa Enchelon, ambao unarekodi kila mawasiliano ya kielectronic dunia nzima,na sheria kupitishwa ulaya kurekodi kila mazungumzo kwa miaka 7,na sasa imefikia kuwa wanauwezo wa kusikiliza namba live wakati unaongea.

TAHADHARI USIFANYE UHUNI WALA KUTUKANA SERIKALI KWA KUTUMIA WHATSAPP,facebook,

pia USIFORWARD KILA PICHA NA VIDEO UNAYOPOKEA HASA UKIHISI INATIA MASHAKA kwani picha zinabeba taarifa nyingi zaidi ya ujuavyo,

mfano ,Aina ya simu/camera, location ya picha (GPS),tarehe,na vitu vingenevyo vinaweza kufichwa ktk picha na media files.
kama unasiri, iandike ktk karatasi tu,hapo hawakupati hata wafanyaje,na sasa baadhi ya upgrades za hizi programs,ukiambiwa update,kuwa makini kwani zinauwezo wa kusikiliza mikrofon ya simu hata kama hujapiga simu.
 
Bujibuji kauliza swali kwa kiswahili.. Majibu yanakuja kwa kiingereza jamani sie wengine lugha gongana hapo.. Nadhani tungeweza wote ku-google ili kupata hayo majibu lakini lugha hatuielewi.. Naomba kufahamishwa kwa kiswahili maana na mie ningependa kujua..
Sema sosoliso, maana jamaa wanajidai hawaele kinyumbani
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji kauliza swali kwa kiswahili.. Majibu yanakuja kwa kiingereza jamani sie wengine lugha gongana hapo.. Nadhani tungeweza wote ku-google ili kupata hayo majibu lakini lugha hatuielewi.. Naomba kufahamishwa kwa kiswahili maana na mie ningependa kujua..

Ukiona hivyo Mkuu ujue ni copy and paste!!
 
Last edited by a moderator:
wana convert vipi airtime kuwa cash?
wanaonnunua vocha kwa jumla ,wanalipia vocha moja kwa moja kwenye makampuni ya simu,vivyo nao makampuni ya simu wananunua bando kwenye makampuni makubwa kama simba net na kutuuzia sisi kwa mfumo wa vocha au vifurushi kwa bei ya juu kuliko walionunulia bando kubwa sana.vivyo wana track kujua kiasi gani cha vocha umekitumia kwenye meseji au internet au kupiga.
 
Whatssap ilinunuliwa na facebok na Octoba mwaka jana ilitoa taarifa yake ya kifedha kwa mara ya kwanza ikijumuisha Whatssap katika ripoti hio kwa mwaka wa fedha ulioisha June. Whatssap inakula hasara na mwaka wa fedha uliopita ilipata hasara(net loss) ya $ 232.5 milioni. Pesa iliyoingiza Whatssap kama faida ni $ 15.9 milioni pekee. Chanzo cha hizi pesa imejumuisha tozo la kila mwaka kwa watumiaji na uongozi wao umeshasema hawaoni kwa sasa kama matangazo ni chanzo kizuri cha mapato.

Lengo kubwa la whatssap kwa sasa ni kukua kuliko kuimarisha vyanzo vyake vya mapato kwa kuwaondoa washindani wake na itaanza kutengeneza pesa pale ambao watakua wamejiimarisha zaidi kwenye soko. Nikukumbushe pia Instagram ilinunuliwa na facebook na haujawekwa mpango wowote wa kutengeneza mapato bora hata whatssap.

Kwa maoni yangu Facebook ni muoga sana wa ushindani, kununua Instagram ilikuwa ni kuogopa watu kushiriki picha kupitia Instagram na kupunguza matumizi ya Facebook ambayo ni moja ya kitu kikubwa sana facebook. Walitaka kufanya kitu hiko kwa snapchat lakini jamaa wakagoma. Pia kwa whatssap, facebook alikuwa tayari ana facebook messenger lakini haikupata kuwahi kufikia mafanikio kama waliyopata whatssap na kukwepa kukaliwa kooni wakaamua kutoa $ 19 bilioni kununua kitu ambacho mapato yake hayafani kabisa na fungu walilotoa kununua. Kampuni ya komputa HP walifanya mchezo huo pia na kwa mwaka 2010-2011 pekee walitumia $ 18 bilioni kununua makampuni(acquisition) na walichokipata ni kushuka mapato na faida. Facebook wananunua kila kinachukua maarufu sasa bila kujali mapato yake.
 
value ya hizo applications zote ni inteligensia Tu,so kuna mtu /taasisi behind the scene.
Mfano hapa tulipo JF,je watu wangapi wanalipia gharama za hii forum,Je unadhani ukiwa kiongozi wa jammii wa jamii ya watu wanotumia JF si ungependa kujua na kuona kuwa JF haifi. Tafakari kwa kina. Gharama za kumaintain Servers and Bandwidth and support,kingine kila update ya Whatsapp ukichunguza ina payload ya vitu vingine.
Whatssap ilinunuliwa na facebok na Octoba mwaka jana ilitoa taarifa yake ya kifedha kwa mara ya kwanza ikijumuisha Whatssap katika ripoti hio kwa mwaka wa fedha ulioisha June. Whatssap inakula hasara na mwaka wa fedha uliopita ilipata hasara(net loss) ya $ 232.5 milioni. Pesa iliyoingiza Whatssap kama faida ni $ 15.9 milioni pekee. Chanzo cha hizi pesa imejumuisha tozo la kila mwaka kwa watumiaji na uongozi wao umeshasema hawaoni kwa sasa kama matangazo ni chanzo kizuri cha mapato.

Lengo kubwa la whatssap kwa sasa ni kukua kuliko kuimarisha vyanzo vyake vya mapato kwa kuwaondoa washindani wake na itaanza kutengeneza pesa pale ambao watakua wamejiimarisha zaidi kwenye soko. Nikukumbushe pia Instagram ilinunuliwa na facebook na haujawekwa mpango wowote wa kutengeneza mapato bora hata whatssap.

Kwa maoni yangu Facebook ni muoga sana wa ushindani, kununua Instagram ilikuwa ni kuogopa watu kushiriki picha kupitia Instagram na kupunguza matumizi ya Facebook ambayo ni moja ya kitu kikubwa sana facebook. Walitaka kufanya kitu hiko kwa snapchat lakini jamaa wakagoma. Pia kwa whatssap, facebook alikuwa tayari ana facebook messenger lakini haikupata kuwahi kufikia mafanikio kama waliyopata whatssap na kukwepa kukaliwa kooni wakaamua kutoa $ 19 bilioni kununua kitu ambacho mapato yake hayafani kabisa na fungu walilotoa kununua. Kampuni ya komputa HP walifanya mchezo huo pia na kwa mwaka 2010-2011 pekee walitumia $ 18 bilioni kununua makampuni(acquisition) na walichokipata ni kushuka mapato na faida. Facebook wananunua kila kinachukua maarufu sasa bila kujali mapato yake.
 
sosoliso aha ha ha nimeyapenda majibu yako Bujibuji ahaha kua na subra kaka angu utapata majibu

Yaani Madame S mtu kauliza swali kwa kiswahili kwanini lijibiwe kwa kiingereza..? newmzalendo amejibu vizuri kabisa kwa kiswahili na amenisaidia kuelewa mengi tu.. Sasa mwingine anaenda ku-google kisha analeta majibu kama alivyoyabeba.. Atafsiri basi hata kwa kiswahili lakini wap..
 
nimecheka sana mkuu ila kweli umeonge la maana
 
Sisi watumiaji wa mitandao, tunaweka vocha na kununua vifurushi kwenye mitandao tetu ya simu,
Hawa wanaomiliki mitandao kama wikipedia na google wanapata faida kwa mtiririko wa namna gani?
 
Back
Top Bottom