pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,599
- 3,034
umeanza kuona jua, rudi tena huko google ka google utakachopata na ulicholeta ni mapato ya google inc. hii ni kampuni inayomiliki google.com na product zote za google hivyo hata google.com (tovuti) isipochangia faida inatoka sehemu nyingine.We jamaa, naona umeanza kunipumzikia sasa, unatafuta kila njia kuprove kua uko sawa, hivi unadhani hii biashara ingekua hailipi Facebook na Google zingekua zinakomaa kuifanya miaka zaidi ya 10 sasa? Ingia google, andika "Google Revenue Profit" zitakuja post nyingi sana zinachambua mapato yao na profit kutokana na kila sector waliyo nayo, hata post ya kwanza tu ina hizo info zote. Endelea kuishi kinadharia we jamaa usinipumzikie.
ukileta faida ya tovuti(kwa mfumo wa pesa) nitakuelewa