Wamiliki wa mitandao ya kijamii wanapataje hela

Wamiliki wa mitandao ya kijamii wanapataje hela

Mbona matangazo yenyewe huwa hatusomi?
MFANO:- Kila ukiingia JF ukawa unakutana na tangazo kama [HASHTAG]#airTanzania[/HASHTAG] au [HASHTAG]#vodacom[/HASHTAG] au [HASHTAG]#airtel[/HASHTAG] au [HASHTAG]#tigo[/HASHTAG] n.k.
1. Ukawa unajiuliza ni kitu gani hiki then ukafatilia information kujua ni nini kinahusu tangazo uliloliona. (hapo tayari wamejitangaza ila hujajua wamekupa awareness kuhusu huduma/kitu wanachojishughulisha nacho).
2. Ukiingia tangazo ukawa unaliona lakini huliweki akilini then itatokea siku moja upo kwenye shida na inahusu bidhaa kama hiyo akili yako moja kwa moja itataka utumie kile kitu ulichoona kinatangazwa.
3. Kuna jamii ya watu ili waweze kutumia kitu wanahitaji kwanza waaminishwe kile kitu ni reliable/secure/trusted/famous, hapo inabidi kampuni ijitangaze kupitia media kama hivi ili wapate wateja wapya na waendelee kuwa na uhakika wa mauzo sokoni.

Kupitia hayo then unakuja kuona wamiliki wa mitandao wanafaidika sana kwanza kwa kupitia MBs tunazotumia chat kwenye mitandao yao/Viewers then wanafaidika na makampuni yanayokuja leta matangazo ili yatangazwe kwenye mitandao husika.
 
Habarini za mwaka mpya?

Mimi ni kijana(23) ninaendesha bajaji, kuna changamoto katika kazi yetu ya usafirishaji mara nyingi huwa nawaza naitatua vipi ili kusaidia wadau wanaojihusisha na hii biashara.

amshukuru mungu nimepata wazo la kufungua app (program) ila nimejikuta njiapanda tena maana sijui mmiliki wa app (program) anapataje faida.

Nimejaribu kugoogle lakini majibu hayajanitosheleza, naombeni msaada kwa mwenye kujua jinsi wamiliki wanavyonufaika.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni baadhi ya njia zinazoingizia app/web kipato.

Ads (matangazo)
Baadhi ya apps/web ukifungua utakuta matangazo kwa chini au mengine yanakuja kama video.

Kampuni ambazo apps au web hutumia kuweka matangazo.
1. Google admob hii ni kwa ajili ya mobile apps.
2. Adsense - web/blog au youtube channel.
3. Media nk yapo mengi.

In app purchase.
Ni kitendo cha kuchaji pesa kwenye app ili mtumiaji aweze pata advance feature ya app.
Kwa mfano, app ya games, unaweka feature ya kuongeza silaha, ili kuzipata silaha mtumiaji itabidi alipie.

Nyinginezo.
Monthly subscription fees.

Kuuza bidhaa zako mwenyewe au huduma.

Ila kama unadhani wazo lako linatatua kitu. Tengeneza kwanza app kisha jitahidi upate audience.

Hautakiwi kufikiria pesa kwanza bali watumiaji watakaofuliahua app inachokifanya. Then mengineyo yatakuja tu.
 
Hapo ili usaidike kirahisi ni muhimu tukajua hiyo app inafanyeje kazi. Mfano akina Uber na Taxify wao wanaingiza pesa kupitia makato wanayokata kwa makubaliano ya asilimia pamoja na madereva pindi abiria anapolipa nauli. Sasa wewe ya kwako itakua inahusu nini? Itakua inafanyeje kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku za nyuma nilikuwa naonaga matangazo ya biashara humu jf lakini siku hizi siyaoni

Sasa huwa najiuliza hawa jamaa wanapataje pesa za kuendesha mambo yao maana nasikia wana mamoderator sasa huwa najiuliza pesa za kuwalipa hao moderators zinatoka wapi

Maana naona tu mtu anatoa Uzi wengine wanachangia lakini nikiangalia chanzo cha mapato sikioni

Kama vipi waweke namba za simu tuwe tunawarushia japo buku buku za maji ya kunywa maana jf inatuburudisha na pia inatuelimisha

Wapo wenyewe watatujibu, @moderators
 
Unapo peruzi jf maana take unatumia mb ambazo umezinunua kwenye moja ya mitandao ya sim.
Hivyo kazi ya ulie nunua mb kwake ni ku detect zile mb zimetumika wapi na kwakiasi gani.
Sasa yule anae kuuzia mb, mwisho wa siku anampatia JamiiForums gawio la pesa/faida ya kiasi cha pesa alizo ingiza kwa wateja kununua mb na kuzitumia kwenye mtandao wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo sina uhakika lakini inawezekana kutegemeana na watumiaji na bundle za Internet zinazotumika wahusika wanajua wanalipana vipi? Haiwezekani ukaendesha social media which is more interactive ambapo watu wanapost madata kibao kujaza servers na kuzihifadhi bure? Hapo wanapohifadhi data na hizo server zinahudumiwa na umeme, AC, na ma_IT kibao alafu kazi yote hii analipia? Bila shaka JF wadau wenu tunahitaji elimu!
 
Sasa wewe unatumia browser ya kitochi utaonaje matangazo ?
 
Unapo peruzi jf maana take unatumia mb ambazo umezinunua kwenye moja ya mitandao ya sim.
Hivyo kazi ya ulie nunua mb kwake ni ku detect zile mb zimetumika wapi na kwakiasi gani.
Sasa yule anae kuuzia mb, mwisho wa siku anampatia JamiiForums gawio la pesa/faida ya kiasi cha pesa alizo ingiza kwa wateja kununua mb na kuzitumia kwenye mtandao wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
SIO KWEL
Hii ni sawa sawa nakusema kuwa vituo vya mafuta navyo hutoa gawio kwa TOYOTA na makambuni mengine yatengenezayo magar, Baada ya watumiaji wa magari hayo ku refill mafuta katika vituo hivyo vya mafuta.
 
Mada ifungwe 👇.
Unapo peruzi jf maana take unatumia mb ambazo umezinunua kwenye moja ya mitandao ya sim.
Hivyo kazi ya ulie nunua mb kwake ni ku detect zile mb zimetumika wapi na kwakiasi gani.
Sasa yule anae kuuzia mb, mwisho wa siku anampatia JamiiForums gawio la pesa/faida ya kiasi cha pesa alizo ingiza kwa wateja kununua mb na kuzitumia kwenye mtandao wake.
Kama kuna marumbano basi iendelee...
 
Ni hivyo tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa yule anae kuuzia mb, mwisho wa siku anampatia @JamiiForums gawio la pesa/faida ya kiasi cha pesa alizo ingiza kwa wateja kununua mb na kuzitumia kwenye mtandao wake.
umenena vizuri sana apo mwazo, ila hii ni pumba ya kiwango cha Reli, cheki comment #85, jawabu lipo hapo
 
Back
Top Bottom