Njia mojawapo ni kuptia Matangazo!!Yale matangazo na advertisement za kibiashara huwa zinalipiwa!!.Sisi watumiaji wa mitandao, tunaweka vocha na kununua vifurushi kwenye mitandao tetu ya simu,
Hawa wanaomiliki mitandao kama wikipedia na google wanapata faida kwa mtiririko wa namna gani?
Kwa mfano jamii forums wanapataje faida kuendesha huu mtandao maana matangazo ni bure.Njia mojawapo ni kuptia Matangazo!!Yale matangazo na advertisement za kibiashara huwa zinalipiwa!!.
Nyingine wataongezea
Ndo kama nilvosema hapo mwanzo!! Njia nyingine ambayo wenye mitandao ,blogs or website ni through views .....wanalipwa na kulingana na idadi ya watu wanaoview au kufungua ile blog!!Kwa mfano jamii forums wanapataje faida kuendesha huu mtandao maana matangazo ni bure.
Matangazo yanayowaingizia hela ni hayo unayoyaona upande wa juu pembeni au kati ya post unayoyaona kama ya voda nk.Kwa mfano jamii forums wanapataje faida kuendesha huu mtandao maana matangazo ni bure.
Ahaaa, kumbe ndiyo maana kuna blogs ambazo wanaweka maelezo au picha ya kusisimua kiasi flani halafu ukiifuatilia unakuta vitu vingine kabisa!Ndo kama nilvosema hapo mwanzo!! Njia nyingine ambayo wenye mitandao ,blogs or website ni through views .....wanalipwa na kulingana na idadi ya watu wanaoview au kufungua ile blog!!
Lakin hizo n general tu lakini kwa upande wa jamii forum swez kuwa na jibu LA moja kwa moja watatusaidia wahuska..Ila hzo ndo njia ambazo zpo general kwa wamilki wengi
Sisi watumiaji wa mitandao, tunaweka vocha na kununua vifurushi kwenye mitandao tetu ya simu,
Hawa wanaomiliki mitandao kama wikipedia na google wanapata faida kwa mtiririko wa namna gani?
Ungekaa tu kimya mkuu upate elimu toka kwa wengine...nani kakuambia wanapata faida kwa lipi?
lilikua ni swali la nyongeza hamna uthibitisho mpaka sasa wa kurasa zote alizotaja zinatoa faida.Ungekaa tu kimya mkuu upate elimu toka kwa wengine...
Basi ungeyatoa hayo majibu kuliko ulichokifanya..... Maana maelezo yako yanaonyesha unayafahamu hayo majibulilikua ni swali la nyongeza hamna uthibitisho mpaka sasa wa kurasa zote alizotaja zinatoa faida.
majibu yatakayotolewa ni nadharia tu ya kupata mapato lakini hayana uhalisia wa faida kuendesha shughuli za kila siku za hizo kurasa za kieletroniki alizozitaja.
Kila mtandao una aina yake ya kupata mapato. Nitatoa mifano kadhaa.
1. Wikipedia> Huu ni no profit, hivyo pesa wanazohitaji ni za kuuendesha. Huwa kuna donation, lakini pia hata watendaji wake wengi ni wa kujitolea.
2. Google> Hawa wana njia kadhaa ikiwamo matangazo kwa mfumo wa Ad Network. Yaani Kampuni mfano Vodacom inalipia kutangaza Google, Google wanaweka matangazo kwenye tovuti mbalimbali kulingana na mahitaji ya mtangazaji (Vodacom). Wanawalipa wale walioweka matangazo kiasi cha fedha na kingine wanabaki nacho wao. Yaani wana act kama madalali wa matangazo.
3. JamiiForum Hawa pia wanaweka matangazo, si yale ya kule jukwaa la matangazo madogo madogo, utaona vipicha picha vinapita. Pia nadhani kuna premium membership. Kwa kuwa ma admin wapo hapa wanaweza kutusaidia.
4. Facebook Hawa pia wana matangazo, makampuni au hata watu binafsi wanawalipa Facebook kupata Likes au followers wengi, pia wanalipa kuwafikia watu ambao hata hawajafollow wala kiLike hizo page. Unaweza tu kuona unaona post za Bull Condom wakati hujawahi kulike wala nini. Wamelipia.
Nadhani hiyo mifano inatosha, kama kuna specific mtandao ungependa kujua unaweza kuweka hapa tukatoa maelezo unapataje mapato yake.
Whatsapp je ? wananufaikaje ?
Whatsapp ilipoanzishwa mwaka 2009, walikuwa kwa baadhi ya nchi (kama Tanzania) illikua ni bure kwa mwaka mmoja (pengine uizoee kwanza) kisha walikuwa wanachaji dola moja kwa mwaka. Kwa nchi nyingine ilikuwa ni dola moja toka mwanzo. Unaweza kuona ni ndogo lakini kama una watumiaji milioni mia saba, ina maana ni dola milioni mia saba. Mwaka 2014 Facebook iliinunua kwa dola karibu bilioni 19. Baada ya hapo ikatangazwa kuwa itakua bure kwa watumiaji, so kwa sasa bado haipo wazi chanzo cha mapato yake.
lilikua ni swali la nyongeza hamna uthibitisho mpaka sasa wa kurasa zote alizotaja zinatoa faida.
majibu yatakayotolewa ni nadharia tu ya kupata mapato lakini hayana uhalisia wa faida kuendesha shughuli za kila siku za hizo kurasa za kieletroniki alizozitaja.
ongelea wikipedia.org, na google.com kama swali la awali alivyotoa mleta hoja.Unaongea nini wewe, yaani pamoja na kujibiwa bado unabisha tu?
Maneno hayana uhalisia ndiyo kitu gani? Facebook wanaingiza zaidi ya $4Billion kila quarter kutoka kwenye matangazo we unabisha? Google nao vilevile, mimi ni moja ya watu wenye apps zinazonilipa kutokana na matangazo, app moja tu ya kawaida kabisa inanipa hadi laki kadhaa kila mwezi Google wanaituma naenda benki nachomoa.
Usiwe unabisha vitu ambavyo huna uhakika navyo. Hakuna unadharia hapa, advertising business inalipa pesa ndefu mno, ndiyo biashara inayoendesha world wide web.
ongelea wikipedia.org, na google.com kama swali la awali alivyotoa mleta hoja.
sasa na wewe naona unaanza kukaribia kujielewa, mtoa hoja kauliza faida; umekubali wiki hawatengenezi faida kama unasoma maelezo yako mwenyewe.Majibu yote yametolewa hapo juu tena yapo accurate. Haya nirudie tena kwa kua ni mvivu wa kusoma.
Wikipedia haina matangazo,yenyewe ni non-profit organization, pesa yote wanayotumia kuendeshea mitambo yao inapatikana kutoka kwenye donations za watu, kama hujawahi ona kila mwaka hua kuna kipindi wanaweka post ya kuomba donations za kuiendesha kwa mwaka mzima, last time ilikua $7Million na watu walichangia, miaka mingine hawapost kwa kua zipo organizations zinazojitolea kuwasponsor.
Google wao ni matangazo, ndiyo kampuni inayoongoza kwa revenue inayotokana na matangazo duniani, ukifungua Google ukasearch kitu fulani kuna muda wanakuletea matangazo yanayohusika na hicho unachotafuta kwa juu kabisa au kulia utaona yameandikwa "Sponsored" au "Ad", unaweza ukaona ni kitu kidogo lakini wanapata searches bilioni kadhaa kila siku, mtu akiclick wanalipwa zaidi, ila kuna cost-per-mile pia, hii tangazo lako likionekana mara 1000 wanakata kiasi flani kidogo cha pesa, mfano mwaka jana Q1 waliingiza $17.3Billion kutokana na matangazo peke yake, kama unahisi ni nadharia pitia documents zao hua wanatoa kuonyesha mapato wanayopata kila quarter ili shareholders waone wazi.
sasa na wewe naona unaanza kukaribia kujielewa, mtoa hoja kauliza faida; umekubali wiki hawatengenezi faida kama unasoma maelezo yako mwenyewe.
faida = mapato - matumizi
umeleta mapato, naomba faida kwa quarter ya kwanza.
No free launchlilikua ni swali la nyongeza hamna uthibitisho mpaka sasa wa kurasa zote alizotaja zinatoa faida.
majibu yatakayotolewa ni nadharia tu ya kupata mapato lakini hayana uhalisia wa faida kuendesha shughuli za kila siku za hizo kurasa za kieletroniki alizozitaja.