Wamepoteza sifa japo wanatamani kuolewa

Wamepoteza sifa japo wanatamani kuolewa

Demu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!

Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??
Wewe stunter kw hyo ndo kusema tusijue dunia inaendaje?😀
 
Mzazi wake akiulizwa ana watoto wangapi wa kiume anamjuisha na yeye kwenye jibu.
Maigizo yamezidi na maadili yamepungua na hili ni kwa jinsia zote mkuu.
kweli kabisa wala si uwongo usemayo
 
[QUOTE="Poise, post: 22738798, member: Usafi wa mwili na tabia njema ni kivutio kwa mwanamke na mwanaume mwenye nia ya kuoa/kuolewa.
 
Super Woman kwenye kipindi chake aliwahisema:
Wanawake wengi wanashindwa kufanikiwa kwasababu,
"Wameshindwa kuwekeza kwenye Ujasiliamali na kuwekeza kwenye Kujilemba miili yao".

Hatusemi kwamba wasiwe wasafi, tena tunapenda wapendeze tu ila iwe kwa kiasi na kujitambua zaidi.

Ku-fake ni pepo baya linalowatesa wengi mno.

Mtoa mada umeongea points ila najua utakutana na majibu mengi pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda kusoma vitabu, na Nilibahatika kusoma kitabu cha Oprah Winfrey cha What I know for sure kuna sehemu namnukuu akisema Don't be a woman that needs a man. Be a woman a man needs.

Wanawake that's some serious take away point.
Nimejarbu kupita google kupata PDF yake nmekosa! If possible upload for the sake of learning!
 
Demu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!

Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpira tena mie my husband anapiga simu weka channel ya mpira nakuja nikute unaangalia, sasa ninaye angalia mpira na yule anayeangalia kutwa taratibu na vcd za kanga moko nani wa maana!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeeeh,
Hapa sielewi, maana mwanamke anapaswa awe vizuri.

Wewe kama Mwanaume, hauna hela acha porojo, mwanamke lazima awe msafi , ajipambe , apendeze.

Ila, issue ya kuolewa siyo lazima kwa mwanamke kama anajitambua kwa anachokifanya.

Any way, ukilamba chumvi ukakuta pachafu usilete kilio maana, wewe ndiye hutaki kumhudumia mwanamke katika usafi.
Unajua wengi ni ubahili unakuta yeye kapiga suit ya maana mkewe kaenda kunyambula nyambula malapulapu ya mitumba na hivi viatu vya siku hizi simple za mchina unakuta kimekaa kama mtumbwi wakienyeji kiatu hicho yeye full amani, michepuko balaa inavyojichuna na wanatoa hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahhahahaha pole sana sana mkuu! mie kama [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] mume ndo alikua anamzuka sana sana wa kunioa... yaan usidhan wote

tunajirahisisha kuolewa aic!... kuna wanaume wengne anajua kbs hii almas anafight akuoe mapemaaaa! na sio wanwake

wote wanataka kuolewa uwe unaelewa hilo! me had mama ngu namwambia mama besdei tu yu yangu kuna watu watakuja hapa

alishangaa sana akasema ww huyu!!!!! sikuwah fikiria kuolewa... nilikua napenda sna kuzaa tu by gal bas....
pole sana
Wanafikiri kama dada zao walivyochina majumbani wanazani ni wote kuna watu ni kukuona tu mtu anachumbia anajua hapa nikiteleza tu mwingine anabeba unajua muoaji anajulikana na mchafuzi pia utamjua tu kwanza habari za kuchumbiana miaka nenda rudi mie hiyo nazani nisinge weza ningepotelea jukwaju

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona wngine tupo simple ..no makuu!watulivu na bado mnatuzingua?
mnatakaje?
Haiwezekani uwe simple afu uzinguliwe.

Kuna kitu tu unazingua bila kujua. Double check your attitude (sisemi kuwa ndio sababu).

Zijue tu boundaries zako in anything na usitake zivuka ili kunfurahisha yeyote. Trust me utakuwa mwenye furaha sana

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
Wanafikiri kama dada zao walivyochina majumbani wanazani ni wote kuna watu ni kukuona tu mtu anachumbia anajua hapa nikiteleza tu mwingine anabeba unajua muoaji anajulikana na mchafuzi pia utamjua tu kwanza habari za kuchumbiana miaka nenda rudi mie hiyo nazani nisinge weza ningepotelea jukwaju

Sent using Jamii Forums mobile app

hhahahahaha umeona eh muoaji anajulikanga tu... kila siku tunapigiwa makelele tu hayo!.. mtutue!
 
Unajua wengi ni ubahili unakuta yeye kapiga suit ya maana mkewe kaenda kunyambula nyambula malapulapu ya mitumba na hivi viatu vya siku hizi simple za mchina unakuta kimekaa kama mtumbwi wakienyeji kiatu hicho yeye full amani, michepuko balaa inavyojichuna na wanatoa hela

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa , mkuu, hapo ndipo pana matatizo. Sisi wanaume wengi tunakuwa wabinafsi.
 
hahahahahahhhahaha nitacheka had jion aic! mie acha nivae na kujipenda niwezavyo maana sipew na sichangiw na mtu!
Kama kawaida kujiremba kuna mdada alikuja kwangu yaani unapendeza hivyo kumbe upo tu na unafua nilijua unatoka mie duu majanga nitajipenda niwezavyo[emoji28] [emoji28] [emoji28] kama maendeleo yapo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe issue kubwa ni ugumu wa maisha? Yaani mtu aache kujipenda kwasababu wewe huna uwezo wa kuhudumia?
Mwanamke lazima ajipende, awe msafi na apendeze.
Ubahili unawasumbua ila kuhonga wenzao bia watu wahivyo ila kwa wake zao uchoyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetembelea Michango yote ya Wadau walionitangulia
 
hahahah umenfurahsha shati la mtereo la 6000/=.. yale maboksa ambayo sio pure coton ah wap mme wangu hajavaa bado.. nunua chupi le super coton 10000/(ya men) mie pia napenda vitu vizur na sijawah ambiwa na mtu [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] fyoko fyoko...!.. kha! hawa huwaelew wanataka mtu mchafu mchafu ili wammliki vizuri.. kuna kipoind nilinenepa sana.. na mm ni meonzi wa viagun vifup bas ukwel nikawa sipendezei kbs nikaanza kupiga gym..hehehe mume akanuna... nikajua bks huyu ni wivu hana lolote...anataka niendelee kuwa chibonge akihis sijui nn s heheheh kupendeza kupo pale pale.....! unamnunulia mkeo chupi ya 1000/ beki 3 avae nn sasa! heu mtutue!

hutak kumpendezesha mkeo atajipendezesha mwenyew ...shwaiiiiiiiin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wambie hao chupi ya 1000/ tulivyaa enzi hizo sasahivi duu sidiria yenyewe nzuri inaanzia 25,000/ wenyewe wanataka zile za sakaula alfu alfu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wambie hao chupi ya 1000/ tulivyaa enzi hizo sasahivi duu sidiria yenyewe nzuri inaanzia 25,000/ wenyewe wanataka zile za sakaula alfu alfu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

hahhahahahhhaha sasa hapo wakiskia set ya nguo za ndan 25000 mijicho inawatoka !pyeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom