Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Mme mwelewa anajua siku ya shoping nguo za ndani anajua abebe sh ngapi kwani unanunua kila siku no.kuna mwingine unaweza kuta kavaa vizuri mamayangu sidiria lake sasa aibuhahhahahahhhaha sasa hapo wakiskia set ya nguo za ndan 25000 mijicho inawatoka !pyeee
Sent using Jamii Forums mobile app