Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
- Thread starter
- #41
mkuu Nielewe sio kwamba nakataa mwanaumke kujipamba ,Hapana kujipamba kwa mtoto wa kike ni moja ya sifa zake na wameumbiwa mapamboAiseeeeeh,
Hapa sielewi, maana mwanamke anapaswa awe vizuri.
Wewe kama Mwanaume, hauna hela acha porojo, mwanamke lazima awe msafi , ajipambe , apendeze.
Ila, issue ya kuolewa siyo lazima kwa mwanamke kama anajitambua kwa anachokifanya.
Any way, ukilamba chumvi ukakuta pachafu usilete kilio maana, wewe ndiye hutaki kumhudumia mwanamke katika usafi.
Ila nachokataa ni kule kujipamba kuliko pitiliza mpaka akapoteza uhalisia wake
Je unapenda wanawake wanaojichuna ngoziiiii?
Wanawake wenye nywele za bandia ?
Kucha za bandia?
mwanamke akijipambe ila asitoe Uhalisia wake