Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
Wanawake wengi wamekuwa wakitamani sana ndoa ila wanajikuta wakitumika bila kuolewa, sababu wamejitengenezea mazingira ya kutumika bila kuolewa.
Na huwa hawajiulizi kwanini wanatumika yapo makosa mengi wafanyayo wanawake eidha kwa kujua au kutokujua au wanajua kisha wakawa wanayapuuzia. Moja wapo ni hili la kufake, wanawake wengi wamepoteza uhalisia kuanzia umbo sura ngozi mpaka na nywele.
Hakuna mwanaume anayependa mwanamke anayewekeza pesa nyingi kwenye Kujipura na ndomana utakuta matajiri wake zao ni wa kawaida sana.
Wengi wetu tunapenda wanawake ambao ni simple wenye kumudu hali yeyote ya maisha, wenye mawazo ya kutafuta si kutumia.
Wakati mwingine unamkuta mwanamke jinsi alivyojipura, yaani ukimtathmini unakuta ndo mshahara wako wa mwezi yeye ndo kaumalizia kwenye urembo siku ile.
Mengine mtaongozea.