Wamepoteza sifa japo wanatamani kuolewa

Wamepoteza sifa japo wanatamani kuolewa

Sijirembi sana kufuga mikucha kama chanuo, ama mawigi kama Joti ila lazima nivae vizuri aisee no way ' simple but smart' Ninavyotafuta pesa hivi uniambie tena nivae kama nimepewa talaka ya gafla! Noooo

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahahahahhhahaha nitacheka had jion aic! mie acha nivae na kujipenda niwezavyo maana sipew na sichangiw na mtu!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wanawake wengi wamekuwa wakitamani sana ndoa ila wanajikuta wakitumika bila kuolewa, sababu wamejitengenezea mazingira ya kutumika bila kuolewa.

Na huwa hawajiulizi kwanini wanatumika yapo makosa mengi wafanyayo wanawake eidha kwa kujua au kutokujua au wanajua kisha wakawa wanayapuuzia. Moja wapo ni hili la kufake, wanawake wengi wamepoteza uhalisia kuanzia umbo sura ngozi mpaka na nywele.

Hakuna mwanaume anayependa mwanamke anayewekeza pesa nyingi kwenye Kujipura na ndomana utakuta matajiri wake zao ni wa kawaida sana.

Wengi wetu tunapenda wanawake ambao ni simple wenye kumudu hali yeyote ya maisha, wenye mawazo ya kutafuta si kutumia.

Wakati mwingine unamkuta mwanamke jinsi alivyojipura, yaani ukimtathmini unakuta ndo mshahara wako wa mwezi yeye ndo kaumalizia kwenye urembo siku ile.

Mengine mtaongozea.
Naunga mkono hoja
 
Heee napenda vitu vizuri maana kuvitafuta naweza. Mtoa mada atakuwa legelege halafu anazungumzia wanawake wenye utindio wa ubongo wasiojua kutafuta kusaidiana na wenza wao. Hata kama unanitunza ila nimepita huko nakuletea zawadi siwezi leta shati la mtelezo au boxer za TMK nooo nachukua shati kweli, boxer nzuri hadi utamani kuvaa megezo waione.

Maisha yamebadilika

hahahah umenfurahsha shati la mtereo la 6000/=.. yale maboksa ambayo sio pure coton ah wap mme wangu hajavaa bado.. nunua chupi le super coton 10000/(ya men) mie pia napenda vitu vizur na sijawah ambiwa na mtu [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] fyoko fyoko...!.. kha! hawa huwaelew wanataka mtu mchafu mchafu ili wammliki vizuri.. kuna kipoind nilinenepa sana.. na mm ni meonzi wa viagun vifup bas ukwel nikawa sipendezei kbs nikaanza kupiga gym..hehehe mume akanuna... nikajua bks huyu ni wivu hana lolote...anataka niendelee kuwa chibonge akihis sijui nn s heheheh kupendeza kupo pale pale.....! unamnunulia mkeo chupi ya 1000/ beki 3 avae nn sasa! heu mtutue!

hutak kumpendezesha mkeo atajipendezesha mwenyew ...shwaiiiiiiiin
 
Kumbe issue kubwa ni ugumu wa maisha? Yaani mtu aache kujipenda kwasababu wewe huna uwezo wa kuhudumia?
Mwanamke lazima ajipende, awe msafi na apendeze.

hehehe bhaeleze.. alafu anang'angania mke ajue kujibana matumiz akienda nje huko had barmaids ananunuliwa laga...@demi wanaume desgn hii nawajua sana wote huo ni WIVU
 
hahahah umenfurahsha shati la mtereo la 6000/=.. yale maboksa ambayo sio pure coton ah wap mme wangu hajavaa bado.. nunua chupi le super coton 10000/(ya men) mie pia napenda vitu vizur na sijawah ambiwa na mtu [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] fyoko fyoko...!.. kha! hawa huwaelew wanataka mtu mchafu mchafu ili wammliki vizuri.. kuna kipoind nilinenepa sana.. na mm ni meonzi wa viagun vifup bas ukwel nikawa sipendezei kbs nikaanza kupiga gym..hehehe mume akanuna... nikajua bks huyu ni wivu hana lolote...anataka niendelee kuwa chibonge akihis sijui nn s heheheh kupendeza kupo pale pale.....! unamnunulia mkeo chupi ya 1000/ beki 3 avae nn sasa! heu mtutue!

hutak kumpendezesha mkeo atajipendezesha mwenyew ...shwaiiiiiiiin

Kikubwa fanya kazi changia bajeti ya familia. Usisahau kupendezaaaa simaanishi ujivalie tu vitu vya gharama kuliko uwezo hapana! Hata ukivaa gauni la elfu 20 chagua linalokutosha rangi nzuri. Sio utandike kitanda mashuka ya mtelezo ukiamka asubuhi unalikuta miguuni hahaha.

My man apendeze nami napendeza kadiri ya uwezo wetu. Kuvaa kama sitimbi hapana vaa vibaya mchepuko wake ukiukuta umatokelezea utashangaaa. Wanafiki sana hawa
 
hehehe bhaeleze.. alafu anang'angania mke ajue kujibana matumiz akienda nje huko had barmaids ananunuliwa laga...@demi wanaume desgn hii nawajua sana wote huo ni WIVU
Anataka mwanamke simple..simple kivipi yaani? Watafute pesa bwana...wasipotutunza tutajitunza wenyewe!
 
Kikubwa fanya kazi changia bajeti ya familia. Usisahau kupendezaaaa simaanishi ujivalie tu vitu vya gharama kuliko uwezo hapana! Hata ukivaa gauni la elfu 20 chagua linalokutosha rangi nzuri. Sio utandike kitanda mashuka ya mtelezo ukiamka asubuhi unalikuta miguuni hahaha.

My man apendeze nami napendeza kadiri ya uwezo wetu. Kuvaa kama sitimbi hapana vaa vibaya mchepuko wake ukiukuta umatokelezea utashangaaa. Wanafiki sana hawa

hahaha nakuelewa sana sana ! mashuka ukifua mara 2 yanaweka vipele heehh we umeninginiza gaun la laki na nnusu... uzur mie sinunuliwi nguo thts y hakuna wa kuninyanyulia mdom! mrad najua nipo poa sn shida kwakweli!
 
Mwingine ukijinunulia nguo anahisi kama vile umehongwa huko nje lkn yeye hajiongezi kukunuulia..
 
Mwingine ukijinunulia nguo anahisi kama vile umehongwa huko nje lkn yeye hajiongezi kukunuulia..

unaniongelea mm hapo... yaan wala we sema tu! km unajua mie ni mkeo y usininulie... mie nilishamwambia huby ukitaka ninunulia nguo niite au nipe hela nitakuonesha nimenunua nn!..anasema sawa !mpk wa leoooooooooooo!.. ss nisivae kisa mume bahili binafsi la kutupwa? aseee!..mtuwacheeeeee
 
Napenda kusoma vitabu, na Nilibahatika kusoma kitabu cha Oprah Winfrey cha What I know for sure kuna sehemu namnukuu akisema Don't be a woman that needs a man. Be a woman a man needs.

Wanawake that's some serious take away point.
Dah ni kweli kabisa kiongozi wangu
 
Honestly napenda mke wangu aje kuwa simple, strong and figher...Mwenyezi Mungu nijalie! But ni vigum wanawake wa kizazi hiki kuepuka kujiremba hata kule vijijini siku hizi nao wanajiremba tu.
kujiremba hakukataliwi ila kusipitilize mpaka ikawa ni shida
.mfano wakuta mwanamke kila kitu Cha mbandia ,kucha mbandia nywele bandia kila kitu mbandia sasa mtu kama huyu mke au mdoliiiiii...
 
Demu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!

Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??
Hahahaha umenichekesha sana kamanda Dah ni kweli ,Demu anatakiwa ww umuongoze sio demu kila kitu anajua yeye ,yaan mpaka shida[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom