ladypeace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 935
- 507
Haaaaaaaa chaaaaa kwa da Faiza lazima mme uonekane wa kuja
Hahaha, Demu anajua kilakitu huna hata chakumdanganyia ebo!
IRON LADY!!!!
Haaaaaaaa chaaaaa kwa da Faiza lazima mme uonekane wa kuja
Hahaha, Demu anajua kilakitu huna hata chakumdanganyia ebo!
Wapo wanaume wachache wenye pesa za ziada za kuchezea ambao huwapa hawa wajinga pesa huku wakiendelea kuwachezea na wao, wakijakustuka ndio hivyo ,maana wachezeaji hao lengo linabaki kuwa ni kuchezea tu,Wanawake wengi wamekuwa wakitamani sana ndoa ila wanajikuta wakitumika bila kuolewa, sababu wamejitengenezea mazingira ya kutumika bila kuolewa.
Na huwa hawajiulizi kwanini wanatumika yapo makosa mengi wafanyayo wanawake eidha kwa kujua au kutokujua au wanajua kisha wakawa wanayapuuzia. Moja wapo ni hili la kufake, wanawake wengi wamepoteza uhalisia kuanzia umbo sura ngozi mpaka na nywele.
Hakuna mwanaume anayependa mwanamke anayewekeza pesa nyingi kwenye Kujipura na ndomana utakuta matajiri wake zao ni wa kawaida sana.
Wengi wetu tunapenda wanawake ambao ni simple wenye kumudu hali yeyote ya maisha, wenye mawazo ya kutafuta si kutumia.
Wakati mwingine unamkuta mwanamke jinsi alivyojipura, yaani ukimtathmini unakuta ndo mshahara wako wa mwezi yeye ndo kaumalizia kwenye urembo siku ile.
Mengine mtaongozea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] madem wa vyuo.hao ndo wako ivoDemu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!
Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??
Nimecheka sana Chalii! Unakutana na demu shabiki wa hip hop, tena zile ngumu, mpk zile ngoma wewe hujazielewa, yeye kazielewa kitambo!
Sent using Jamii Forums mobile app
point taken bro, thanks.Napenda kusoma vitabu, na Nilibahatika kusoma kitabu cha Oprah Winfrey cha What I know for sure kuna sehemu namnukuu akisema Don't be a woman that needs a man. Be a woman a man needs.
Wanawake that's some serious take away point.
ACHENI KUWAFANYA WANAWAKE WATUMWA WA MAWAZO YENU FINYU, DEMU AKIJUA ANACHOKIPENDA NYIE MTA`CRITIC KAMA NDIYO SABABU HAOLEWI... WEWE KAMA UNATAK DEM MSHAMBA AWE MKE, TAFUTA, KAMA WATAKA MJANJA TAFUTA WA HIVYO HIVYO.... KILA MTU AKO NA MATCH YAKE YANI.Nimecheka sana Chalii! Unakutana na demu shabiki wa hip hop, tena zile ngumu, mpk zile ngoma wewe hujazielewa, yeye kazielewa kitambo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Honestly napenda mke wangu aje kuwa simple, strong and figher...Mwenyezi Mungu nijalie! But ni vigum wanawake wa kizazi hiki kuepuka kujiremba hata kule vijijini siku hizi nao wanajiremba tu.
Habari za masiku?ACHENI KUWAFANYA WANAWAKE WATUMWA WA MAWAZO YENU FINYU, DEMU AKIJUA ANACHOKIPENDA NYIE MTA`CRITIC KAMA NDIYO SABABU HAOLEWI... WEWE KAMA UNATAK DEM MSHAMBA AWE MKE, TAFUTA, KAMA WATAKA MJANJA TAFUTA WA HIVYO HIVYO.... KILA MTU AKO NA MATCH YAKE YANI.
Wazungu wanasemaga Too Much is harmful, kuna mwanamke ukimwambia kesho tunaenda shamba anafikiria kujiremba tu.AMEN, BUT KUWA SIMPLE SI MTU HAJIREMBI, KUNA UREMBO WA KUPENDEZA NA UREMBO WA USHANGINGI MJIN, HUYU SASA NDIYO OMBA USIMPATE. KUWA SIMPLE NI KUJIREMBA PIA TO A SIMPLE XTENT BRO,
Sisi wanaume ni pasua Kichwa usisahau kuweka na vivulana ni ngumu sana kuelewa tunachotaka.
Japo Mimi Poise, najielewa ninachotaka na nimekipata kutoka Tanga.
Tanga eee..?
Nashukuru sana, Mkoa wa Tanga kuwa Tanzania.
Hahahaha eti first eleven ya BurnleyDemu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!
Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??
Nilishawahi kujifanya namtoa demu out yeye kdgo ni mgeni na ule mji coz tulikutana Chuo hahahaha niliumbuka kumbe anapafaham kuliko mm kiukweli nilipta aibu nikaishiwa poziDemu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!
Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??
Kwa hiyo matatizo yoote anayo mwanamke..Haiwezekani uwe simple afu uzinguliwe.
Kuna kitu tu unazingua bila kujua. Double check your attitude (sisemi kuwa ndio sababu).
Zijue tu boundaries zako in anything na usitake zivuka ili kunfurahisha yeyote. Trust me utakuwa mwenye furaha sana
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
Sikusema wala kumaanisha hivyo.Kwa hiyo matatizo yoote anayo mwanamke..
Wanaume ni perfect creatures eeh?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Demu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!
Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??
Vizuri sana. ..natumai hujuti..Ndiyo,
Tanga line!!
Vizuri sana. ..natumai hujuti..
Point muhimu sana hio. Be a woman a man needs!Napenda kusoma vitabu, na Nilibahatika kusoma kitabu cha Oprah Winfrey cha What I know for sure kuna sehemu namnukuu akisema Don't be a woman that needs a man. Be a woman a man needs.
Wanawake that's some serious take away point.