Wamepoteza sifa japo wanatamani kuolewa

Wamepoteza sifa japo wanatamani kuolewa

Kuna baadhi ya kinadada kwenye huu watakuwa wanapita kimya kimya tu! Mkuu hii nyundo imekuwa nzito mno!!!
 
Kwa kweli mimi ni mpenzi mkubwa wa Mpira,najua ligi zote duniani zile maarufu!kuanzia Laliga mpaka BUNDASLIGA,wachezaji 80%nawajua[emoji41][emoji23][emoji23]na bwanawangu ameridhika na mimi sana tu

Mavazi yangu napenda sana kuvaa kitomboy yaani chini nitupie Converse za maana,nina Raba kalii mpaka mwanaume wangu anapagawa nazo[emoji23]Cardet chini au jeans mchano,na tshirt juu[emoji41]!!siku mashetani yakinitulia navaa zangu Hijjabu na ushungi mmoja matata saaana[emoji23][emoji23][emoji23]

Pamoja na yote naolewa mwezi huu mwishoni[emoji126][emoji126]!!Ahsante mungu kwa baraka zako

Sent using Jamii Forums mobile app
duuh, I wish ningempata kama wewe
 
Demu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!

Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??
Kuna mmoja niko nae kitaa shabiki wa yanga anajua mpaka first eleven za misimu iliyopita.ikicheza yanga taifa huwa hakosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!

Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??

Jaman nmechekaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom