Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
- Thread starter
- #61
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Umetishaaaaa!!!!
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Umetishaaaaa!!!!
kweli kabisaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwanamke kuringa mwisho miaka 30 ukizidisha hapo utaishia kuitwa kisicho riziki ....
[emoji4] [emoji4] [emoji4]hiv kuskia rasta pia nalo shhida
Wanaume hata na sisi wapo fake. Utamkuta mwanaume kasuka, katoboa masikio mpaka pua, na nywele wengine zamani tulikuwa tunasema wameweka kalikiti.
Kama mwanaume chagua anayekuridhisha hao wengine waachie watakaona wanawafaa.
Sasa babu na huyo anaesuka na kutoboa sikio naye ni mwanaume??Wanaume hata na sisi wapo fake. Utamkuta mwanaume kasuka, katoboa masikio mpaka pua, na nywele wengine zamani tulikuwa tunasema wameweka kalikiti.
Kama mwanaume chagua anayekuridhisha hao wengine waachie watakaona wanawafaa.
Hahahah hapo sasa mtatiana umaskini kwa mwendo huoUtatuzi wa swala kama hili ni mgumu sana itabidi twende dro akijilemba mimi kila wiki natungua suit ya laki hawezi nizidi matumizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazani itakuwa solution nzuri otherwise aache kujipamba sana na mimi nipunguze utanashati wangu.Hahahah hapo sasa mtatiana umaskini kwa mwendo huo
Demu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!
Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??
Mzazi wake akiulizwa ana watoto wangapi wa kiume anamjuisha na yeye kwenye jibu.Sasa babu na huyo anaesuka na kutoboa sikio naye ni mwanaume??
Daaa...nimecheka saanaDemu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!
Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??
Aiseeeeeh,
Hapa sielewi, maana mwanamke anapaswa awe vizuri.
Wewe kama Mwanaume, hauna hela acha porojo, mwanamke lazima awe msafi , ajipambe , apendeze.
Ila, issue ya kuolewa siyo lazima kwa mwanamke kama anajitambua kwa anachokifanya.
Any way, ukilamba chumvi ukakuta pachafu usilete kilio maana, wewe ndiye hutaki kumhudumia mwanamke katika usafi.
Tanga Kunani Etiii ??Sisi wanaume ni pasua Kichwa usisahau kuweka na vivulana ni ngumu sana kuelewa tunachotaka.
Japo Mimi Poise, najielewa ninachotaka na nimekipata kutoka Tanga.
Nashukuru sana, Mkoa wa Tanga kuwa Tanzania.
Mkuu hayo mapovu yote ya nini.
Sawa Mkuu ngoja Nifanyie Kazi UshauriHaaaaa haaaaa teeeh teeeh.
Wanawake wengi wa Tanga, wanajitambua.
Binafsi, sijawahi kujuta kuoa kutoka Tanga.
Karibu Tanga, na ukipata mke toka Tanga we mpe na mheshimu utafurahia maisha.