Wamatumbi: Amkeni Kutoka Matrix!

Wamatumbi: Amkeni Kutoka Matrix!

Nimeisha pitia stage zoote za initiation katika fani ya kushambuliwa ndo maana huwa na pokea kiumbe jinsi a navyo kuja. So mimi ni another version of Lissu kimtazamo zaidi
Basi tutakushambulia mno , hasa mimi
 
Mkuu umeongea jambo la maana sana hapa,
Tunayo yafanya leo sio tu kwa ajili yetu,bali ni kwa ajili ya vizazi vijavyo pia.

I like it.
Acheni kujifariji enyi wamatumbi.

Huwezi kusema unafanya kitu kwa ajili yako wakati hauna autonomy ya kuamua ufanye nini, hiyo ni another version ya utumwa.

Sio utumwa wako pekee bali hata kizazi kikuonacho kita copy na kupaste the same lifestyle
 
Wewe unajua mimi ni nani? nafanya nini? nipo wapi?
Au umeshajiwekea fixed image kua kila mtu hapa JF yupo kama wewe tu?
Coz ukiusoma huu uzi kwa umakini,ni kama umejielezea jinsi wewe ulivyo.
 
Wewe unajua mimi ni nani? nafanya nini? nipo wapi?
Au umeshajiwekea fixed image kua kila mtu hapa JF yupo kama wewe tu?
Coz ukiusoma huu uzi kwa umakini,ni kama umejielezea jinsi wewe ulivyo.
Nimejibu hoja iliyoko menzani

Sikutaja unafanya nini. Ni wewe umepersive hivyo.

Mimi nipo kwa shemeji nakula maisha. Lakini haiondoi dhana na hoja iliyoko menzani
 
Mkuu umeongea jambo la maana sana hapa,
Tunayo yafanya leo sio tu kwa ajili yetu,bali ni kwa ajili ya vizazi vijavyo pia.

I like it.
Ndio iko hivyo mkuu, hata maisha tuliyonayo leo ni matunda ya waliotutangulia walipambana, leo tunatumia magari walikaa kugundua hayo magari hata hawapo
 
Acha ujinga, kufanya kazi kwa bidii sio utumwa, bali unawekeza kwa vizazi vijavyo, hakuna kitu cha buree lazima upambane, tena huko ulaya wanafanya kazi 24hrs ndio maana mambo yanaonekana
Hujaielewa mada vizuri umekurupuka.

Sijasema kufanya kazi kwa bidii ni utumwa nimesema kufanyishwa kazi kwa bidii ndo utumwa. Unaweza kupambania maisha yako au kupambania destiny za watu wengine ilihali wewe hujui hata unataka nini. Hiyo ndo point kubwa wamatumbi hawaielewi
Periodt.
 
Mmh...! Ndio wewe tena? Kile unachokiomba kule mbona inakuwa sio sample ya wewe?. Wale ni watu WATULIVU sana. Wenye kupewa uelewa mkubwa ksbb wanajua mengi. Au kule unamuombea mtu sio wewe?
Kuna kitu unachanganya unajaribu kuleta morarity kwenye swala la meditation...
Meditation haimfanyi mtu kuwa mwema, hiyo sio dini.. Hiyo ni practice
 
Kuna kitu unachanganya unajaribu kuleta morarity kwenye swala la meditation...
Meditation haimfanyi mtu kuwa mwema, hiyo sio dini.. Hiyo ni practice
Wewe ndio umekuja kutengua torati.

Sasa nikutahadharishe kile nikichokuambia kule kufikia hatua ya kuonana na malaika wako wawili sio kitu kidogo,hiyo ni imani kubwa. Sasa ukileta janjile kwamba utakuwa waluwalu huwezi kuwa mwema,basi ishia hapo ulipoishia kwenye meditation uliposhia panatosha.

Lakini ukiendelea mbele kwenye yale mafunzo makubwa na bado ukawa na mambo ya ovyo,soon utakuwa kichaa. Usiwaone vichaa wote huko barabarani ukadhani wamelogwa au wako tu hivyo. Wengine wali-agansit maswala kama hayo ya kiimani kama unavyotaka kuyachezea wewe.

Ndio maana nikakudirect kwa yule mwamba ili akuelimishe zaidi.
Vinginevyo ukileta ujanjile wako utapotea. Usirahisishe kila jambo
 
You're not God you crazy ass dude.
Malaika hao nani aliwaona? Wacha ujinga wa kumezesha watu ujinga ukifikiri kila mtu ni fala. Nenda kawaaminishe wajinga

Mimi nilikuambia kuwa Nashukuru kwa taarifa nitamsoma huyo jamaa sio kwamba nina kubaliana na kila kitu asemacho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom