Wamatumbi: Amkeni Kutoka Matrix!

Wamatumbi: Amkeni Kutoka Matrix!

Acha ujinga, kufanya kazi kwa bidii sio utumwa, bali unawekeza kwa vizazi vijavyo, hakuna kitu cha buree lazima upambane, tena huko ulaya wanafanya kazi 24hrs ndio maana mambo yanaonekana
 
Mmh...! Ndio wewe tena? Kile unachokiomba kule mbona inakuwa sio sample ya wewe?. Wale ni watu WATULIVU sana. Wenye kupewa uelewa mkubwa ksbb wanajua mengi. Au kule unamuombea mtu sio wewe?
 
Kufanya kazi kwa bidii sio tu Africa hata huko kwa wenzetu
Unataka kusema watu weupe wanabweteka ila mabomu ya nucleur yanajiunda, magari yanajitengeneza viwandani yenyewe?

Mbona kama sisi waafrika ndio tumebweteka wenzetu wanafanya kazi kama punda kutuzidi
They're doing it for fun.
Huwezi kuta mzungu kalazimishwa kuunda nuclear.... Hata J. Robert Oppenheimer he did it for discovery reasons... Kama Mwana sayansi. hakutengeneza ile nuclear kwa ajili ya kuangamiza dunia ila ni ujinga wa mwanadamu ndo uliyo Fanya mpk wakaifanyia majaribio.

Ni mataifa yenye nyumbu ndani yake tu ambayo yameendeleza physical wars...
 
Ni lazima hata wahadzabe wanafanya , sio hakun mtu anakuja kula kwa mama yako; Kila mtu anapambania maisha yake .
Ni kweli ila wao hawafanyi kazi kama nguruwe. Kazi huwa kazi pale inapokuwa na conditions.
 
Hkuna wazungu wanafanya kazi kama nguruwe ?Nenda site ukaone
Nimekuelewa na uko sahihi ila maana yangu ni tofauti kidogo nadhani ukitulia utani elewa.
Wamatumbi hawa fanyi kazi, wanafanya utumwa labda niieweke hivyo! Ila hata hapo bado kutakuwa na Misconception
 
Nimekuelewa na uko sahihi ila maana yangu ni tofauti kidogo nadhani ukitulia utani elewa.
Wamatumbi hawa fanyi kazi wanafanya utumwa labda niieweke hivyo! Ila hata hapo bado kutakuwa na Misconception
Hata mimi nimekuelewa . Kwa sababu sisi tunakariri hzi kazi ngumu , ambazo hata maslahi ni kiduchu .. kwa mfano : mtu akiwa analima au kpiga zege anajiona yeye ndiye anafanya kazi na wengine anawaona kama wavivu .
 
Mmh...! Ndio wewe tena? Kile unachokiomba kule mbona inakuwa sio sample ya wewe?. Wale ni watu WATULIVU sana. Wenye kupewa uelewa mkubwa ksbb wanajua mengi. Au kule unamuombea mtu sio wewe?
Hahahaha it has nothing to do with this.
 
Hata mimi nimekuelewa . Kwa sababu sisi tunakariri hzi kazi ngumu , ambazo hata maslahi ni kiduchu .. kwa mfano : mtu akiwa analima au kpiga zege anajiona yeye ndiye anafanya kazi na wengine anawaona kama wavivu .
Haswaa,
Wewe ulielewa toka mwanzo haukuwa na clarity tuu. Tuko page moja. Lakini hata huyo wa zege akiona ina mfaa ni sawa pia. Ila judgements na kutaka kuwa bora au kujiona uko chini kuliko mwingine ndo jela halisi
 
Jela kivipi?
Nataka mtoto wangu asonge IST pesa nitatoa wapi isipokua kufanya kazi kwa bidii na akili ili kutimiza hitaji langu kwa hii scenario kivipi nipo jela
Uko jela kuwaza hivyo tuu mrembo
 
Huwa ina faida kubwa sema wamatumbi masikio yetu yanapenda kusikia unyonge na udhaifu, ndio maana usishangae tukikushambulia
Nimeisha pitia stage zoote za initiation katika fani ya kushambuliwa ndo maana huwa na pokea kiumbe jinsi a navyo kuja. So mimi ni another version of Lissu kimtazamo zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom