Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,339
- 17,583
Elimu ni muhimu lakini zaidi ni ubora.
Katika kutafuta ubora huo baadhi huvuka bahari na kwenda nga'mbo kutafuta elimu iliyo bora katika fani mbali mbali. Kwa mfano vijana wengi Afrika hutamani kwenda nchi kama Uingereza, Marekani, Urusi na China ili kupata elimu bora.
Tukiangalia idadi ya wanafunzi wa nje katika nchi husika utaona kwa kiasi kikubwa kuna akisiwa na ubora wa elimu ya nchi hiyo.
Tumekuwa tukijadiliana sana hapa kuwa ni nchi gani hapa Afrika mashariki ina elimu bora kabisa. kuna watu wamehoji majengo na madaraja kuporomoka (Kenya) kuna akisi tatizo la elimu.
Leo nitawapa takwimu zinazoonesha idadi ya wanafunzi wa kimarekani wanao kuja kusoma Afrika. Ambapo, nchi ya kwanza kupokea wanafunzi wengi ni Afrika ya kusini ikifuatiliwa na Ghana, huku Tanzania ikiwa ya Tatu.
Je, Wamarekani wengi kuichagua Tanzania badala ya Kenya kunaakisi ubora wa elimu ya Tanzania?
Source