Wamarekani wengi kusoma Tanzania badala ya Kenya

Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
8,305
17,415
Elimu ni muhimu lakini zaidi ni ubora.

Katika kutafuta ubora huo baadhi huvuka bahari na kwenda nga'mbo kutafuta elimu iliyo bora katika fani mbali mbali. Kwa mfano vijana wengi Afrika hutamani kwenda nchi kama Uingereza, Marekani, Urusi na China ili kupata elimu bora.

Tukiangalia idadi ya wanafunzi wa nje katika nchi husika utaona kwa kiasi kikubwa kuna akisiwa na ubora wa elimu ya nchi hiyo.

Tumekuwa tukijadiliana sana hapa kuwa ni nchi gani hapa Afrika mashariki ina elimu bora kabisa. kuna watu wamehoji majengo na madaraja kuporomoka (Kenya) kuna akisi tatizo la elimu.

Leo nitawapa takwimu zinazoonesha idadi ya wanafunzi wa kimarekani wanao kuja kusoma Afrika. Ambapo, nchi ya kwanza kupokea wanafunzi wengi ni Afrika ya kusini ikifuatiliwa na Ghana, huku Tanzania ikiwa ya Tatu.

Je, Wamarekani wengi kuichagua Tanzania badala ya Kenya kunaakisi ubora wa elimu ya Tanzania?

students.png

Source
 
Elimu ni muhimu lakini zaidi ni ubora.

Katika kutafuta ubora huo baadhi huvuka bahari na kwenda nga'mbo kutafuta elimu iliyo bora katika fani mbali mbali. Kwa mfano vijana wengi Afrika hutamani kwenda nchi kama Uingereza, Marekani, Urusi na China ili kupata elimu bora.

Tukiangalia idadi ya wanafunzi wa nje katika nchi husika utaona kwa kiasi kikubwa kuna akisiwa na ubora wa elimu ya nchi hiyo.

Tumekuwa tukijadiliana sana hapa kuwa ni nchi gani hapa Afrika mashariki ina elimu bora kabisa. kuna watu wamehoji majengo na madaraja kuporomoka (Kenya) kuna akisi tatizo la elimu.

Leo nitawapa takwimu zinazoonesha idadi ya wanafunzi wa kimarekani wanao kuja kusoma Afrika. Ambapo, nchi ya kwanza kupokea wanafunzi wengi ni Afrika ya kusini ikifuatiliwa na Ghana, huku Tanzania ikiwa ya Tatu.

Je, Wamarekani wengi kuichagua Tanzania badala ya Kenya hakuakisi ubora wa elimu ya Tanzania?

View attachment 990944
Source
Ubora wa elimu,uzuri wa nchi,utamaduni,na amani
 
Hapa watapita kimia kimia
 
American system...
Si iyo elimu yenu ya KISWAHILI ya class 7
 
Hao wanafunzi ni wale wa exchange program wameenda Kuisoma umasikini unavyoadhiri Watanzania.
 
I can guarantee 100% wamekuja tu kujifunza Kiswahili.

If we flip the coin, there are like 100,000 Tanzanians studying in Kenya. And only less than 1000 Kenyans studying in Tanzania.

come with your thread, acha issue za lkn lkn unajua, na sisi blah blah blah.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom