Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,276
This is grossly overstated!
Hali siyo mbaya kabisa na siyo mbaya kama mnavyodhani.
Kwanza sidhani kama wengi wenu mpo Marekani achilia mbali kufika.
She is seeking attention overstatement i call it listen kweli haikutendeka but its not a genocide happening in usa hapo huyo dada alipo st,paul mn hali ni shwari and life goes on its was just an incident not massacre people acheni kuzusha jmnMsikilize huyu binti anachokisema kisha umwambie hali siyo mbaya hata kidogo Marekani atakuelewa kweli.
kwa hio tatizo la ubaguzi ni dooogo sana huko usUongo mtupu!
Hali wala siyo mbaya kama mnavyodanganywa.
Msitake kufanya vifo vya watu wawili na polisi watano kuwa ndo gharika kwenye nchi yenye majimbo 50 na idadi ya watu zaidi ya milioni 300.
Acheni masikhara na acheni kudanganyika kama majuhha msio na ubongo!
kwa hio ubaguzi hakunaHuyo aliyehojiwa!
Nakataa kuwa hali ni mbaya kwenye majimbo yote 50 na kwa watu zaidi ya milioni 300.
Matukio mawili hayawezi kabisa kufanya hali iwe mbaya na ukweli wa mambo ni kwamba hali siyo mbaya hata kidogo.
Vry true nadhani hujaelewa people just make up shit esp wakiskia its USA.mauaji kweli yanatokea but its not genocide.Kuna mtu mmoja humu alikuja na habari zake za uzushi, kumuuliza kama alishaishi Marekani acha aanze aporomoshe matusi. Hahaaa... Kuna watu humu ni waongo na wazushi hatari!. Mimi nimeishi Marekani zaidi ya miongo miwili, sijawahi kusimamishwa wala kuhojiwa na Polisi!.
kwa hio ubaguzi hakuna
Mkuu umeishi Marekani muda wote huo na ujawahi kusimamishwa wala kuhojiwa kwa hiyo tufanye reference kutoka kwako na ripoti za huko Marekani tena kutoka vyuo vikuu ambazo sinasema madereva weusi ndiyo wanaongoza kupekuliwa tuachane nazo ni waongo?Kuna mtu mmoja humu alikuja na habari zake za uzushi, kumuuliza kama alishaishi Marekani acha aanze kuporomosha matusi. Hahaaa... Kuna watu humu ni waongo na wazushi hatari!. Mimi nimeishi Marekani zaidi ya miongo miwili, sijawahi kusimamishwa wala kuhojiwa na Polisi!.
Huyo anaejiita Nyani Ngabu anajidai tu kutetea kwa kuwa labda anaishi huko kwa kutegemea kitchen soup za handouts.
Nani leo hii asiyejua mauaji ya ubaguzi wa rangi huko US? Labda ni punguani tu.
Someni kuhusu KKK, someni kuhusu akina Martin Luther King Jr. Someni kuhusu civil rights movement za US muelewe kuwa kuna tatizo kubwa kuliko mbavyojidai kulifanya dogo.
Someni hii!
List of massacres in the United States - Wikipedia, the free encyclopedia
kweli huyu jamaaa simwelew nyan ngabu kiukweli unawatetea wazungu acha izo amerika sio mahali salama kiukweli ...Ndio nimeshaona tena nazo picha zao.
Kibaraka wa mzungu wewe.
kweli huyu jamaaa simwelew nyan ngabu kiukweli unawatetea wazungu acha izo amerika sio mahali salama kiukweli ...
Matendo yote mawili uliyoyaandika hauafai kwa mwanaadamu! Ila ukumbuke ni vyema ukaziba paa la nyumba yako kwanza ndio umsaidie jirani!Hali ya US kwa sasa inasikitisha sana.
Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.
Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.
Kulikoni?
Ni tukio tu siyo mauaji daah!!She is seeking attention overstatement i call it listen kweli haikutendeka but its not a genocide happening in usa hapo huyo dada alipo st,paul mn hali ni shwari and life goes on its was just an incident not massacre people acheni kuzusha jmn
safi saana , ngoma droo
(Above pictures) Wamarekani weupe wanatembea na silaha (wanaogopa kuvamiwa na Wamarekani weusi).
jana kauwaa mtu mwingine mr braziel, in Houston texasHali ni tete
Wewe punguani kweli mimi nifurahie mauaji ya nini miafrika bana akili hamna kabisa hapa tunajadili hali ilivyo huko Marekani wewe unakuja na habari za kibwegee.
Unajadili ya Marekani au unafanya comparison .Hizo silaha watageukiana wenyewe kwa wenyewe maniaa zao.
Leo hii ndiyo wanamkumbuka Sadam Hussein baada ya kuichafua dunia.
Kila siku tunaambiwa US kuna amani sana amani gani sasa hiyo.