Watu watembea wamebeba hunting Rifles mpaka Supermarkets halafu tunaambiwa hali siyo mbaya hata kidogo.
(Above pictures) Wamarekani weupe wanatembea na silaha (wanaogopa kuvamiwa na Wamarekani weusi).
Upo sahihi maalim.Sio kufitinishwa tu, mzungu katumia jeshi lake kabisa kuifuruga Iraq, Libya na sasa Syria...
Nadhani unajua..
Upo sahihi maalim.
Swali linabaki pale pale huu mvurugano wenu ambao ulianzishwa na mzungu hauna mwisho?
Hivi hizo suicide vest mnaletewa/mnatengenezewa na Mzungu?
hiyo Shi'a vs Sunni is for how long.....?
Kwa nini msikae mkazungumza mkapatana mkaishi kwa amani katika nchi zenu kuliko hii ya kukimbilia utumwani ulaya na % fulani kugeuka chakula ya samaki Mediterranean??
Najua nipo off topic Mahmoud lakini ninachojaribu kusema ni kwamba wewe & co mnatakiwa muaze kuelimishana namna ya kuishi pamoja kwa Amani.
Atakuambia hao wote walikuwa wana chuki na wazungu wao ndiyo wakorofi.Huyo anaejiita Nyani Ngabu anajidai tu kutetea kwa kuwa labda anaishi huko kwa kutegemea kitchen soup za handouts.
Nani leo hii asiyejua mauaji ya ubaguzi wa rangi huko US? Labda ni punguani tu.
Someni kuhusu KKK, someni kuhusu akina Martin Luther King Jr. Someni kuhusu civil rights movement za US muelewe kuwa kuna tatizo kubwa kuliko mbavyojidai kulifanya dogo.
Someni hii!
List of massacres in the United States - Wikipedia, the free encyclopedia
Aaahahahha umekimbilia kwa Waislam tena!Ni watu wangapi wameuawa hapo palipotokea mauaji tokea huyo mtu auwawe?
Sasa kama siyo kwenye majimbo yote hizi habari za kwamba Marekani sasa hivi hali ni mbaya zinatoka wapi?
Yaani vifo vya watu wawili ndo vifanye hali kuwa mbaya nchi nzima?
Kwendeni zenu huko.
Tofauti za kimtazamo zisitumike kupotosha mambo.
Ni kawaida ya binadamu kulalamika hata pasipo na sababu. Ona Waislamu wa Tanzania wanavyolialia kuonewa kila siku.
Nani anayewaonea?
Mauwaji ya Kimbari yalikoma 1994Kasome kuhusu devide and rule labda utaelewa kuwa hata wewe hauko salama.
Huko Rwanda mauaji ya kimbari yalikuwa baina ya Shia na Sunni?
Huko Afrika Kusini juzi juzi ilikuwa baina ya Shia na Sunni?
Huko US hivi sasa ni baina ya Shia na Sunni.
Nina imani ya mkabaji...walichomeza watakitema.
(Above pictures) Wamarekani weupe wanatembea na silaha (wanaogopa kuvamiwa na Wamarekani weusi).
Wacha kuleta udada wewe. Nani anahitaji ya kuwa nchi fulani ili apate kujua kinachofanyika huko?This is grossly overstated!
Hali siyo mbaya kabisa na siyo mbaya kama mnavyodhani.
Kwanza sidhani kama wengi wenu mpo Marekani achilia mbali kufika.
Kampikie mumeo wewe. Nani kakuuliza? Kiherehere ka gazeti la udaku!!Habari ndo hiyo. Hali siyo mbaya hata kidogo.
We ukimpikia baba nyani unatia sukari au?Nyie ndo mnatia chumvi.
Hali ya US kwa sasa inasikitisha sana.
Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.
Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.
Kulikoni?
Tuanze na hali ya Zanzibar kwanza kabla hatujafika huko Marekani.Hali ya US kwa sasa inasikitisha sana.
Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.
Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.
Kulikoni?
Hatua gani za ki usalama zimechukuliwa mpaka sasa?Sasa hvi nipo Dallas mitaa ya Birchbrook Dr kuna Black Amerca mmoja kampiga mzungu kisu cha tumbo kwenye mgahawa!! Jamaa anaesema Marekani hamna tatizo pengine labla hayupo Marekani hii yenye ubanguzi wa rangi yupo Marekani nyingine watu huku wanauwawa kimya kimya!
Hivi unaijua marekani au unawachukia tu?the strongest nation the biggest economy and the world leader inatosha kukufanya ujue they set the rules and runs the show world wide.Muda muafaka kwa viongozi wa Africa kuwatangazia Raia wake kuwa Marekani sio sehemu salama kwa wanaotaka kwenda Na walioko huko warudi haraka .
Kama vipi wafunge hata balozi zao kwa muda.hadi hali atakapotengamaa.!
Hali sio mbaya marekani nadhani umeona inaitwa protest tena ni watu wa rangi zote jamii yote hapa kinachofanyika ni wananchi wanataka power kubwa walionayo polisi kuuwa hovyo washtakiwe basi?ni kweli polisi wamezidi but hujaona vita kwenye nchiKama Marekani hali ni nzuri hawa wamarekani wanafanyeje hapa angalia hii video clip.
sehemu zote hizo ni uonevu...mtu akinyamaza kuhusu US haimaanishi hayo ya Dubai ni sahihi...Hali ya US kwa sasa inasikitisha sana.
Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.
Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.
Kulikoni?