Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021

Jibu hoja, kwanini mnachezea maisha ya Wamachinga ili kupata credibility ya kisiasa? Mnajua hawa watu wana familia? Kwanini mliwaruhusu?

Achana na habari za awamu, Kubali CCM mlikosea sana na mnatakiwa kuwaomba radhi kabla ya kuwafanyia huu udhalimu. We said it before mkatuona sio wazelendo
Piga wamachinga hao hawana akili
 
Kumeeeee kucha. Je, wataamua kupambana au kutii amri? Nini kitafuata kama wakiamua kupambana? Wataitiwa polisiccm wapewe mkong’oto kama Chadema na kutupwa lupango? Au Serikali itaufyata? Tutege macho na masikio. Thank Thank

Tunawakaribisha kwenye Press Conference Leo kama tangazo linavyoonyesha sisi Wamachinga tuliobomolewa vibanda vyetu, tunaomba mtuafuatilie tutakua online.

Pia tutampongeza Mheshimiwa Raisi kwa speed yake ya kutuwekea mazingira mazuri ya biashara.

Jiji limeanza kupendeza

View attachment 1980139
 
Je, ni Viongozi wa kuchaguliwa kweli au ni mapandikizi ya maccm pretending to be machinga leaders!?

Viongozi wa machinga ndani press conference Serena..who finance hiyo press conference? Hao viongozi leo si ndio wamekula kichapo kariakoo ..? Hao viongozi hawawakilishi taswira kamili ya wamachinga Bali wako bega kwa bega na makala.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tunawakaribisha kwenye Press Conference Leo kama tangazo linavyoonyesha sisi Wamachinga tuliobomolewa vibanda vyetu, tunaomba mtuafuatilie tutakua online.

Pia tutampongeza Mheshimiwa Raisi kwa speed yake ya kutuwekea mazingira mazuri ya biashara.

Jiji limeanza kupendeza

View attachment 1980139
Mkutano wa ndani, mbona ghafla hivyo kibali waliomba lini na wamepewa lini, je, mfadhili ni yuleyule Chadema?
 
Hao ni machinga kweli wanaofanya conference kwa Selena hotel au ni janja ya chama fulan kuonesha uma machinga wameunga juhudi
 
Aisee hawa sio wamachinga tumepigwa ila hili kundi fulani ambalo lipo kwenye system wanakuja kuunga mkono juhudi za serikali.

Halafu kwanini wamachinga, Press yao iwe Serena hotel?, Nani ana gharamia cost za kufanyia Press hapo?
 
Machinga kufanya press! Tena Serena!
 
Tunawakaribisha kwenye Press Conference Leo kama tangazo linavyoonyesha sisi Wamachinga tuliobomolewa vibanda vyetu, tunaomba mtuafuatilie tutakua online.

Pia tutampongeza Mheshimiwa Raisi kwa speed yake ya kutuwekea mazingira mazuri ya biashara.

Jiji limeanza kupendeza

View attachment 1980139
Du,haya mapya kwelikweli.Machinga,presi,comferensi,serena hoteli ? Kweli hiyo ina macho hiyo.Ya kubambikizwa hiyo na ma........ vinginevyo ungesikia kauli.Huo ni mkusanyiko usio halali tena uvunjifu wa amani.Wajaribu, tutawavunja miguu.Eti na agenda ipo ya kumpongeza malkia wa wasukuma.

Waandalieni,maji,chai,kahawa na vitafunwa vya kutosha.TBC,CHANNEL 10 Habari Leo, paskali nk.na wale wa kupamba msikosekana kuliongezea chumvi.Hapa taarifa za kiintelijinsia zinasomaje.

Hiki ni kikao kilichoitishwa na ma.........m ili kuwarubuni kuwa ni wenzao kuwa wametendewa haki wakati jamaa walishaweka kibindoni 20 20 20 20...........sasa wanawageuka.Hawa ni sawa na wale waliokuwa wanakataa katiba mpya wakajisahau kuwa wamevaa nguo imeandikwa katiba mpya.Ni vigumu sana kugeuza uongo kuwa ukweli,lazima utaumbuka tu.PGO.

Tunasubiri kikao MACHINGA,PRESI COMFERENSI,SERENA HOTELI DARESALAMU.Mfadhili nani ?
 
Mwisho wa siku utaniambia.Mafuriko haya sio ya kuzuia kwa kutumia gunia kama unavyodhani. SIMPLE MIND.........
Lengo la serikali ni zuri tu....ila kuna wachache wanaziingiza shari ndani yake....

Ila nijuavyo mabadiliko yoyote mwanzo huwa magumu na yana gharama.....
 
Back
Top Bottom