Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Kero sana kupewa pesa kila mtu, yani macho watu kodo wanataka wajue km hiyo 50 m inareflect watakavyo
Waswahili bwana. Sasa 50mil mlitaka aagize kivitz na kufanya besdei 2 kanla hajawa muflisi?
Mbona mi nina zaidi ya hiyo mil 50 na nimechoka kuliko walter nadhani ni life sytle tu tubadilike jamani
Naungana na Ney wa Mitego,kiukweli walter amechoka sana sidhani kama kweli alipewa zile m 50 atakuwa amepewa kama m10 hv then 40 watu wameipiga panga noma sana.