Wanipige msumari wa Neno li Mungu, labda mbele za watu ila lazma anizungukie kunitongoza..... Hao ndo walokoleLazima uwaone wa ovyo sana maana wakikuona umevaa kama avatar yako inavyoonesha, lazima wakupige msumari wa Neno la Mungu! Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli. Makanisani kwenu dhambi haikemewi kwa kumaanisha. Ni yale makanisa ambayo utasikia mhubiri anasema, "fuata ninachohubiri, usifuate matendo yangu". Sasa hapo hakuna unafiki?
Kama washafika mbinguni wanafanya nn duniani?Walokole wote wanafki. Kwanza wanajiona wao tayari washafika mbinguni sisi tusio walokole jehanamu ni yetu. Halafu wana tabia za ajabu za kukwaza wengine. Mi nampenda Mungu na naamini katika dini ila mume mlokole simtaki. Sitaweza vumilia tabia zao za ajabu ajabu.
Mawazo ya kufikirika tu haya
Okoka tena
Wokovu una raha yake
No, i'm exception, it's you and the rest who are paranormally psychopath with a sense of antsocial.Including you!
Pole sana, lakini huo ndio ukweli! Kama hujaookoka wewe ni mataifa.
1.Kuna mdada mtu mzima MLOKOLE alikuwa anasali kwa kububujika.....Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.
kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.
NB: Matusi sitaki tafadhali
Maendeleo ya kuzimu na kutoa kafala mwezi wa 12...maskini wakubwa nyieMoshi Ukatoliki na Ulutheri umekolea....Na ndio tunaongoza kwa maendeleo...
Mbona unatokwa na povu.. .Kwani mimi ndiye nilipanga wewe kuwa Mkwere..?Maendeleo ya kuzimu na kutoa kafala mwezi wa 12...maskini wakubwa nyie
Namjua Mungu kama Bwana na Mwokozi wangu asa sijui ndo kuokoka kaa ndo uko?Umeokoka. ?
We unaonaje..? Umeokoka..?Namjua Mungu kama Bwana na Mwokozi wangu asa sijui ndo kuokoka kaa ndo uko?
Wewe ni mulokoziKama wewe ulivyo m.p.u.m.b.a.v.u! Na kukashifu imani za watu
Wao wanakuwa ni wa kimataifa?Ambao hatujaokoka wanatuita wa mataifa!!