Wallah Wabillah leo nimeamini baada ya Mungu, Mzungu

Wallah Wabillah leo nimeamini baada ya Mungu, Mzungu

Hivi watu wanaelewa kweli namna miradi mikubwa ya kisayansi inavyofanyika? Hiyo miradi ina timu za Aeronautical Engineers, Aerospace Engineers, Mechanical Engineers, Electrical Engineers, Software Engineers, Robotics Engineers na wanasayansi wa kada mbalimbali. Kuna watu wanakesha maabara, wengine wanafanya calculations, wengine wanadesign mifumo, wengine wanapima vifaa na wengine wanatatua matatizo ya kiufundi kila siku.


Elon Musk anaweza kuwa mwekezaji, kiongozi, mfadhili wa mradi na hata kushiriki kwenye maamuzi muhimu ya kiufundi, lakini haimaanishi kwamba yeye ndiye anayekaa na ku design vitu
Mkuu hapa umedhihirisha kile unachokifahamu na kilichowekezwa kwa muda mrefu academically kwenye ubongo wako. Kwenye mifumo ya uongozi tungekuwa na watu wanayoyajua kama unayoyajua wewe na wakaamua kuimplememt what they know tungekuwa mbali sana. Nadhani shida unaijua nchini kwetu haha, tusiongee sana maana yanauma kwakweli....
 
Kwa kua kombora za Iran zinatua direct to the target tel aviv pale hadi MASHOGA wanakimbiana basi sifa tumpe Mojtaba Khomeini?😅😆🤣

Unazungumzia marehemu Hayatollah? Mojtaba anaishi kwenye mashimo sasa kama panya. Iran hali tete ipo hoi. Mademu tu walienda watia vidole wairan kwao mule mule. Ukiacha kuuliwa kama kuku kwa paggers. Unafahamu Hayatollah mwingine alikufa kma panya aloyedondoshewa tofali?
 
Kwa kua kombora za Iran zinatua direct to the target tel aviv pale hadi MASHOGA wanakimbiana basi sifa tumpe Mojtaba Khomeini?😅😆🤣
Screenshot_2026-10-16-21-04-14-313_org.mozilla.firefox~2.jpg
Screenshot_2026-10-16-21-06-58-893_org.mozilla.firefox~2.jpg
Screenshot_2026-10-16-21-04-03-986_org.mozilla.firefox~2.jpg
Screenshot_2026-10-16-21-07-07-129_org.mozilla.firefox.jpg
 
kama ungekuwa unafuatilia vipindi vya discovery Channel, ungegundua kuwa kwa kiasi kikubwa Elon Musk ana nunua/anafadhili miradi ya wabunifu.
Wenzetu huko wana platform ambazo watu wa kila aina hata kutoka Africa wanashiriki; mtu akija na Idea yake ikaonekana, itauzika inanunuliwa na yeye anakuwa share holder mara itakapozalishwa na kuingia sokoni
Mfano; Bingwa wa kubuni roboti na drone za kivita Marekani ni Mnigeria. Alionesha kipaji akachukuliwa na kupewa uraia (Dr. Osato Osemwengie).
Kwa Africa, nafikiri wakoloni walitudanganya tukaona masomo ya Arts ndio kila kitu; Kumbe dunia inaendeshwa na Sayansi na Hesabu. Tuna kazi kubwa sana ya kufanya mageuzi kwani wasomi walioko mtaani almost 80% ni Arts, hivyo maamuzi mengi Africa yanafanywa kwa mrengo wa Arts; ndio sababu tunaenda polepole!

Asante sana kwa ufafanuzi kaka Sema me kujadili maada kwa sasa Jf Kama hizi kumejaa utoto unakuta inatoa maada mtu anaanza kuku attack personal hivi ndio great thinkers wanapaswa kujibu….fuatilia kaka replies za mwanzo nimejibu nachokiamini ila angalia majibu niliyopewa
 
Waliwadanganya wapi? Nani kawazuia kusoma masomo ya sayansi? Ni ujinga kutafuta wa kulaumu. Waliogundua vitu wa hapa wapo wapi?

Shytown unaona kaka uwezo wa mtu unagundua tu hata utulivu Hana …mwanzoni nilikuwa hivi pia Ila kutoka Tanzania na kuja nje kupata exposure hakika nimekuwa mtulivu sana na mtu wa kuelewa haraka
 
Shytown unaona kaka uwezo wa mtu unagundua tu hata utulivu Hana …mwanzoni nilikuwa hivi pia Ila kutoka Tanzania na kuja nje kupata exposure hakika nimekuwa mtulivu sana na mtu wa kuelewa haraka
kuna member mmoja humu baba yako alichoweza kugundua ni kukwea mnazi kwa mkono mmoja kwa kutumia vaseline iliyopashwa moto kidogo. upo hapa anamponda Elon Musk.
 
Mtu kama Elon musk akiniita naenda tu kwa nauli yangu😹😹sio kwa akili izi
Na kashawazalisha wanawake wanne watoto 14.
Kapita nao wengi sana.
Ukienda anaichapa tu mwanzo mwenga hachagui naniliu.
Mchagua jembe si mkulima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom