Wallah Wabillah leo nimeamini baada ya Mungu, Mzungu

haha meanwhile in tanzagiza mtaala mpya watoto wa tanzagiza wanafundishwa arabic language, sasa sijui waende nayo wapi ? au ndiyo wanawaandaa labda kwenda kufanya udereva uae na katar, i mean fikiria tu resources watakazotumia (ambazo ni finyu hata hivyo) kufundishia lugha mpya ambayo haipo kabisa maana yake wanaanza from scratch.

low iq folks ...
 
Si
Hawa Ndo maana hawataki kuwatoa mhanga watoto wao wanajua huko mbeleni wanaweza kuja fanya mambo kama haya.

Fikiria Elon Musk angekuwa amezaliwa Uarabuni pengine angeshafungishwa bomu akajitoe mhanga. Angekufa na hii akili ingepotea. Kweli baada ya Mungu, Mzungu

View attachment 3692006View attachment 3692007
sidhani kama una akili sawasawa. Unaacha kujitolea mfano hai hata wewe na nchi yako unakimbilia kutolea mfano uarabuni, ambao pengine wamekuzidi kila kitu.
 
Ila kwanini Africa hakunaga magenius kama kina Elon Musk
kama ungekuwa unafuatilia vipindi vya discovery Channel, ungegundua kuwa kwa kiasi kikubwa Elon Musk ana nunua/anafadhili miradi ya wabunifu.
Wenzetu huko wana platform ambazo watu wa kila aina hata kutoka Africa wanashiriki; mtu akija na Idea yake ikaonekana, itauzika inanunuliwa na yeye anakuwa share holder mara itakapozalishwa na kuingia sokoni
Mfano; Bingwa wa kubuni roboti na drone za kivita Marekani ni Mnigeria. Alionesha kipaji akachukuliwa na kupewa uraia (Dr. Osato Osemwengie).
Kwa Africa, nafikiri wakoloni walitudanganya tukaona masomo ya Arts ndio kila kitu; Kumbe dunia inaendeshwa na Sayansi na Hesabu. Tuna kazi kubwa sana ya kufanya mageuzi kwani wasomi walioko mtaani almost 80% ni Arts, hivyo maamuzi mengi Africa yanafanywa kwa mrengo wa Arts; ndio sababu tunaenda polepole!
 
Angekua hapa tanzania nae angejibanza kwenye kuunda juisi za enegy,unga wa sembe na angepambana sama nae angejichukulia mradi wake wa mabas
 
Wakiristo wa jf kwa propaganda
Hawa Ndo maana hawataki kuwatoa mhanga watoto wao wanajua huko mbeleni wanaweza kuja fanya mambo kama haya.

Fikiria Elon Musk angekuwa amezaliwa Uarabuni pengine angeshafungishwa bomu akajitoe mhanga. Angekufa na hii akili ingepotea. Kweli baada ya Mungu, Mzungu
 
Si

sidhani kama una akili sawasawa. Unaacha kujitolea mfano hai hata wewe na nchi yako unakimbilia kutolea mfano uarabuni, ambao pengine wamekuzidi kila kitu.

Wamenizidi ukatili na chuki kwa makafir. Wewe kobazi unasugua gaga tu hapo. Mwenzio naishi maeneo mazuri na serikali inanilipa vizuri.
 
Nafikiri una nia njema ILA usilinganishe Mungu na vitu vya ajabu ajabu...
Yaani binadam hawa hawa wanaomuasi Mungu kila kukicha na matendo mengine ya kutisha nafikiri hata shetani anashangaa???
Wapi nime mringanisha?
 
It doesnt matter. Kwa nini asifanye Dangote au Mo Dewj? Kuweza tu wakusanya hao tayari ni ujiniazi. Unawaambia watu nataka 1,2,3 then unaanza kusanywa wahusika. Au kwanini baba yako hajawakusanya na yeye?
Kwa kua kombora za Iran zinatua direct to the target tel aviv pale hadi MASHOGA wanakimbiana basi sifa tumpe Mojtaba Khomeini?😅😆🤣
 
kama ungekuwa unafuatilia vipindi vya discovery Channel, ungegundua kuwa kwa kiasi kikubwa Elon Musk ana nunua/anafadhili miradi ya wabunifu.
Wenzetu huko wana platform ambazo watu wa kila aina hata kutoka Africa wanashiriki; mtu akija na Idea yake ikaonekana, itauzika inanunuliwa na yeye anakuwa share holder mara itakapozalishwa na kuingia sokoni
Mfano; Bingwa wa kubuni roboti na drone za kivita Marekani ni Mnigeria. Alionesha kipaji akachukuliwa na kupewa uraia (Dr. Osato Osemwengie).
Kwa Africa, nafikiri wakoloni walitudanganya tukaona masomo ya Arts ndio kila kitu; Kumbe dunia inaendeshwa na Sayansi na Hesabu. Tuna kazi kubwa sana ya kufanya mageuzi kwani wasomi walioko mtaani almost 80% ni Arts, hivyo maamuzi mengi Africa yanafanywa kwa mrengo wa Arts; ndio sababu tunaenda polepole!

Waliwadanganya wapi? Nani kawazuia kusoma masomo ya sayansi? Ni ujinga kutafuta wa kulaumu. Waliogundua vitu wa hapa wapo wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom