Wallah Wabillah leo nimeamini baada ya Mungu, Mzungu

Wallah Wabillah leo nimeamini baada ya Mungu, Mzungu

Hivi watu wanaelewa kweli namna miradi mikubwa ya kisayansi inavyofanyika? Hiyo miradi ina timu za Aeronautical Engineers, Aerospace Engineers, Mechanical Engineers, Electrical Engineers, Software Engineers, Robotics Engineers na wanasayansi wa kada mbalimbali. Kuna watu wanakesha maabara, wengine wanafanya calculations, wengine wanadesign mifumo, wengine wanapima vifaa na wengine wanatatua matatizo ya kiufundi kila siku.


Elon Musk anaweza kuwa mwekezaji, kiongozi, mfadhili wa mradi na hata kushiriki kwenye maamuzi muhimu ya kiufundi, lakini haimaanishi kwamba yeye ndiye anayekaa na ku design vitu
Yeye ndiye mbeba maono, yeye anaona Gari kama hii ikiwa inapaa kabla Wataalam wengine hawajahusika Kwa chochote...!
 
It doesnt matter. Kwa nini asifanye Dangote au Mo Dewj? Kuweza tu wakusanya hao tayari ni ujiniazi. Unawaambia watu nataka 1,2,3 then unaanza kusanywa wahusika. Au kwanini baba yako hajawakusanya na yeye?
Mbona Dangote kafanya mengi? Ungesema wewe ndio hujawahi kufanya lolote hapa duniani.
 
It doesnt matter. Kwa nini asifanye Dangote au Mo Dewj? Kuweza tu wakusanya hao tayari ni ujiniazi. Unawaambia watu nataka 1,2,3 then unaanza kusanywa wahusika. Au kwanini baba yako hajawakusanya na yeye?
Muulize lingekuwa ni suala la kukusanya tu , hata Bongo watu wanakusanywa kama alivyokusanywa Makonda and his likes.
 
Yaani sijui hawa watu wanawaza vipi vitu vya kawaida kabisa vinavyotumia principles za physics wao wa nashangaa mpaka wanamsujudu Elon hahah
Principles za Physics we hukuwa ukizijua? Mbona hujatumia? Au kukwea mnazi kwa mkono mmoja ndo unaona principle ya physics? Acha wivu wa kike dogo.
 
Muda wote tunawaza mbunye na mihogo, lishe duni, umasikini na ushamba.

Ukiwa mshamba automatikale unashindwa kuwa genius.

Kabisa kuna member mmoja humu baba yake alichoweza kugundua ni kukwea mnazi kwa mkono mmoja kwa kutumia vaseline iliyopashwa moto kidogo. Yupo hapa anamponda Elon Musk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom