Ahahahah kwamba elimu mbalimbali toka Pakistan🤣🤣🤣,ila huyu mama waweza kuta ni Gaidi lipo kwenye payroll ya ISISNa ndiyo maana mnaharibu hii nchi na ile elimu yenu mbalimbali kutoka Tamil Nadu, Pakistan.
Hil ni jambo la kujisifia,mkuu?
Kwani hizo dhihaka huwa ni kweli au uzushi? Lawama hizo wanalalamika kuhusu nini?Walitudhihaki hatukusoma shule, lkn lawama kila siku
lawama hazina haja ya kukubabaisha kufikia malengo na ndoto zako gentleman,Walitudhihaki hatukusoma shule, lkn lawama kila siku
Tatizo la watu wa aina yako ni moja.Walitudhihaki hatukusoma shule, lkn lawama kila siku