Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,174
Wasiwasi wangu ni kwamba inawezekana hili jambo halikujadiliwa hata kwenye Baraza la mawaziri...kama lingepita basi wasingepishana kauli,ndalichako na msemaji wa UDOM wana kauli moja,rais ana kauli nyingine, lingepita kwenye Baraza la mawaziri lazima wangeitisha ufaulu/matokea ya hao vijana,hii ingeuwa hoja kwamba hao vijana ni vilaza,hukohuko kwenye vikao vyao vya ndani, Pili lingefuata suala la milioni 800 wanazodai walimu,hili nalo si kubwa kwa serikali inayojigamba kuwa na makusanyo makubwa,wangebana huku na kule walipe waalim vijana wamalize shule,hizo hela walizobana kwenye semina na safari za nje wanapeleka wapi? Mbona Huduma za afya ziko vilevile?tunachoona ni ukosefu wa uongozi wa pamoja kati ya mawaziri na mwenyekiti wao rais..
Kuna mmoja anawavuruga
Litajadiliwaje na Baraza la Mawaziri! Wakati lilipoletwa Bungeni tu Wabunge ambao wawakilishi wetu lilitupwa nje ya Uwanja na Mbunge mteule wa Rais?
Unategemea Waziri gani mwenye ubavu ataka ethubutu kuanzish a hiyo hoja barazani kwao, hajitaki.