Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Sawa jescaNenda ba
nenda baraza la mithani waombe wakupe we si mshambenga
Sawa jescaNenda ba
nenda baraza la mithani waombe wakupe we si mshambenga
Kajinasa yeye mwenyewe kwenye mtego maana alisema aliposikia kuna mgomo ndipo akafuatilia na kugundua kuwa wanaunzi ni vilaza. Hata hivyo utaratibu wa kuwaita hao ulifanyika wakati wa JK na yeye akishiriki kutokea kwenye baraza la mawaziri hadi bungeni walikopitisha utaratibu huo. Sasa ana kana yote aliyoshiriki wakati wa JK na kumfanya JK aonekane sio lolote kwa kila kituSasa kama msemaji wa UDOM anasema hao walioitwa vilaza walikuwa na ufaulu wa division one,two,na wachache three,mh rais atawaambia nini watanzania anapodai walikuwa na division four? Hii si ushahidi kwamba rais hapati taarifa sahihi na mwisho wa siku anafanya maamuzi ya kuumiza watu? Ni nani alimpelekea rais taarifa hizo? Mbona UDOM kupitia msemaji wao na bi ndalichako kauli zao zinafanana? Za rais zinatoka wapi na ni naani mpasha habari wake? Wangapi wameshaumia kwa staili hii tangu aingie madarakani? Hawa watoto wakienda mahakamani watashinda kwa hakika,serikali itachukua kodi za nani kuwalipa fidia? Hiyo fidia na kuwaacha waendelee kusoma kipi cha busara?
Na wewe uwe na ushahidi, aliresit lini na wapi? Kama wewe unayo hayo matokeo unayodai yatoe kumaliza ubishi. Maana sasa hivi kila kitu kipo mitandanoni. Toa namba ya kituo alichoresit na namba yake ya mtihani tuingie mtandao wa NECTA tuangalie.Huyo mtoto alireseat akaendelea acheni ushambenga matokeo ya kureseat hamna mnaongea kishiranga kishambenga kikunanku kishombondokoloko kitawaponza
Muwe mnaelewa haramu haihalalishi haramuWatanzani wanahoji kwanini Jesca ambaye ni KILAZA namba moja anayesomea degree ya Rasilimali watu hapo hapo UDOM asifukuzwe ilhali ana ufaulu wa division FOUR?