Waliotimuliwa UDOM waibuka, watoa ya moyoni

Rais anapokosea,hawezi kuomba msamaha. Katika muktadha wa kisheria,husemwa 'Kings do no wrong'. Profesa mkenya P. L. O. Lumumba,aliwahi kutuambia watanzania pale Blue Pearl,Ubungo Plaza kuwa Rais hawezi kuomba msamaha.

Hajanituma. Sijatumwa na yeyote. Mimi namwombea msamaha kivyangu tu. Ni wazi Rais ameteleza kuwaita wapata daraja la nne vilaza na wengine wa madaraja mengine vipanga. Rais aliteleza kuchanganya mambo ya wanafunzi wa St. Joseph na wale wa UDOM. Wale wa UDOM hawakurudishwa nyumbani kwakuwa ni vilaza.

Rais aliyatumia maneno vilaza na vipanga kiutaniutani tu. Hakuwa na nia ya kuudhi,kukejeli wala kuumiza. Kwa vyuoni,hata UDSM,vilaza wapo na vipanga wapo. Kiutaniutani tu. Rais asamehewe na mada ifungwe. Rais anapaswa kufanya mambo mengine!

Mzee Tupatupa-Kilaza wa Lumumba,Dar es Salaam
 
kuna watu duniani wanashida kuishi nao na sijui huko nyumbani kwake inakuwaje hasa mkewe yaelekea anatabu sna ubabe umepitiliza poleni wakina mama.
 
you seem to know little or nothing about how the state operates. The state is impersonal so are its decisions. Yet, corrupt mind people may distrust a non corrupt president but trust a mere spokesperson. shame! the era of graft train are gone, it is JPM train era. You are either with JPM and Tanzanians or with corrupt clique.
Wakurupukaji tuuu.....na mzigo umeshawaelemea mpaka mnaomba maji,hii ni nchi bhana ina taratibu zake,huwezi kuzibadili kama unabadili ratiba ya chakula cha familia yako....hawa walifata taratibu zooote za nchi kuwa UDOM...nyie ndio mnakesha kujifanya mnshauri mpaka macho yanawavimba kumbe mnamchonganisha na wananchi tu
 
Naona mwakilishi kavaa na yellow neck tie.. Kuvutia attention
 
Namuogopoa sana JK huyu mtu anacheka lkn kamwe afurahishwi na mambo ya Magu asa suala la UDOM yule mzee JK muone tu anacheka lakini atari
 
kuna watu duniani wanashida kuishi nao na sijui huko nyumbani kwake inakuwaje hasa mkewe yaelekea anatabu sna ubabe umepitiliza poleni wakina mama.
Hahahaaa kwa hiyo unataka kusema hata nyumbani anatumbua
 
awamu ya kukurupuka hii,mpaka miaka mitano ipite mbona shida

10731490_754655684600067_483484073_n.jpg

Oho hooo!
 
Aeleze kwanza Jesca John Pombe Magufuli aliyepata Division Four ya point 30,ya O level alipataje nafasi ya kusomea shahada pale Chuo kikuu cha Dodoma?
 
Rais anapokosea,hawezi kuomba msamaha. Katika muktadha wa kisheria,husemwa 'Kings do no wrong'. Profesa mkenya P. L. O. Lumumba,aliwahi kutuambia watanzania pale Blue Pearl,Ubungo Plaza kuwa Rais hawezi kuomba msamaha.

Hajanituma. Sijatumwa na yeyote. Mimi namwombea msamaha kivyangu tu. Ni wazi Rais ameteleza kuwaita wapata daraja la nne vilaza na wengine wa madaraja mengine vipanga. Rais aliteleza kuchanganya mambo ya wanafunzi wa St. Joseph na wale wa UDOM. Wale wa UDOM hawakurudishwa nyumbani kwakuwa ni vilaza.

Rais aliyatumia maneno vilaza na vipanga kiutaniutani tu. Hakuwa na nia ya kuudhi,kukejeli wala kuumiza. Kwa vyuoni,hata UDSM,vilaza wapo na vipanga wapo. Kiutaniutani tu. Rais asamehewe na mada ifungwe. Rais anapaswa kufanya mambo mengine!

Mzee Tupatupa-Kilaza wa Lumumba,Dar es Salaam
Bora mkuu umemuepushia yule mtoto wa watu(jesca) na maneno ya walimwengu maana mada ilihama
 
Akubali serikali imefulia sababu ya kuwabana wafanyabiashara, asisingingie suala la vilaza na kufukuza wanafunzi ili kubana matumizi. Aturuhusu tuanze kunywa pombe asubuhi pesa izunguke serikali iingize mapato yake.
 
Rais anapokosea,hawezi kuomba msamaha. Katika muktadha wa kisheria,husemwa 'Kings do no wrong'. Profesa mkenya P. L. O. Lumumba,aliwahi kutuambia watanzania pale Blue Pearl,Ubungo Plaza kuwa Rais hawezi kuomba msamaha.

Hajanituma. Sijatumwa na yeyote. Mimi namwombea msamaha kivyangu tu. Ni wazi Rais ameteleza kuwaita wapata daraja la nne vilaza na wengine wa madaraja mengine vipanga. Rais aliteleza kuchanganya mambo ya wanafunzi wa St. Joseph na wale wa UDOM. Wale wa UDOM hawakurudishwa nyumbani kwakuwa ni vilaza.

Rais aliyatumia maneno vilaza na vipanga kiutaniutani tu. Hakuwa na nia ya kuudhi,kukejeli wala kuumiza. Kwa vyuoni,hata UDSM,vilaza wapo na vipanga wapo. Kiutaniutani tu. Rais asamehewe na mada ifungwe. Rais anapaswa kufanya mambo mengine!

Mzee Tupatupa-Kilaza wa Lumumba,Dar es Salaam
Usimsemee, yeye si ana ultimate powers he does not need anybody on earth to consult, let it remain so!
 
Siwezi kumsamehe mtu anayerudiarudia makosa kila siku- "KILAZA MPUMBAVU NA LOFA" G Sam wa Ufipa-Kinondoni Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom