tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Asante Mkuu, Vimto ya moto itanitosha.Dahh aisee we noma nenda shop upate nyota uvute khaaaa
Asante Mkuu, Vimto ya moto itanitosha.Dahh aisee we noma nenda shop upate nyota uvute khaaaa
Mkuu tunaomba nakala ya matokeo ya reseat ya jesca.Huyo mtoto alireseat akaendelea acheni ushambenga matokeo ya kureseat hamna mnaongea kishiranga kishambenga kikunanku kishombondokoloko kitawaponza
Siku hizi unasikia wakitaja makusanyo ya ndani kwa mbwembwe kama walivyoanza?Wasiwasi wangu ni kwamba inawezekana hili jambo halikujadiliwa hata kwenye Baraza la mawaziri...kama lingepita basi wasingepishana kauli,ndalichako na msemaji wa UDOM wana kauli moja,rais ana kauli nyingine, lingepita kwenye Baraza la mawaziri lazima wangeitisha ufaulu/matokea ya hao vijana,hii ingeuwa hoja kwamba hao vijana ni vilaza,hukohuko kwenye vikao vyao vya ndani, Pili lingefuata suala la milioni 800 wanazodai walimu,hili nalo si kubwa kwa serikali inayojigamba kuwa na makusanyo makubwa,wangebana huku na kule walipe waalim vijana wamalize shule,hizo hela walizobana kwenye semina na safari za nje wanapeleka wapi? Mbona Huduma za afya ziko vilevile?tunachoona ni ukosefu wa uongozi wa pamoja kati ya mawaziri na mwenyekiti wao rais..
Kuna mmoja anawavuruga
Mbona umeandika utumbo? ali reset wapi? na kwanini alidahiliwa na NACTE na sio TCU kama alireset?Huyo mtoto alireseat akaendelea acheni ushambenga matokeo ya kureseat hamna mnaongea kishiranga kishambenga kikunanku kishombondokoloko kitawaponza
Hawataji tena....kila kitu siri,mpaka bunge nalo ni siri kama vile kinachojadiliwa ni ushirikinaSiku hizi unasikia wakitaja makusanyo ya ndani kwa mbwembwe kama walivyoanza?
Picha linaendelea, season 1, episode 8JPM wangu weeee kalishwa kasa! Kama kweli hakuna Kilaza.....ni hatari kwa nchi kumdanganya President! Isije kutokea kumbe Kilaza ni Jesca pekee alieko UDOM! Naendelea kula pop corn movie ikiendelea!! Aje aombe radhi kwa lugha ya kuudhi!
Hahahahaha ungemuuliza kuwa alirisiti lini, Matokeo yakatoka lini, akadahiliwa lini, akaanza masomo lini, na admission akapata lini hadi Leo awe Mwaka wa Pili....Mbona umeandika utumbo? ali reset wapi? na kwanini alidahiliwa na NACTE na sio TCU kama alireset?
Kama baba Jesca kashindwa kutofautisha Division one two three na four na kuzichanganya na kuziita vilaza,pia kashindwa kutofautisha diploma na degree kisha kuwatimua Udom na kusahau kuwa wakati huo huo mwanae Jesca Division 4.30 yupo pale anasoma degree huku nae ni Kilaza, Je ataweza kweli kulielewa hili neno "Double Standard"? Si unamchanganya tu mkuu.Wale watoto wa watu wanapakaziwa kwamba waligoma wakati waliogoma ni waalimu wao. Baba Jesca alitaka kufukuza Wanafunzi wa UDOM anajisahaulisha kwamba pale pale alipokuwa kuna wanafunzi walikuwa wamegoma na hakupenda kukemea wala kuchukua hatua yeyote yeye pamoja na Joyce wake, mbona wanakuwa na "Double Standards"!?.
Siku hizi unasikia wakitaja makusanyo ya ndani kwa mbwembwe kama walivyoanza?
Picha linaendelea.Hii tamthilia inaonekana itakuwa na episode nyingi
Ngoja nikaongeze juice
Serikali ndio ilianzisha hiyo kozi....ikawapa ufadhili mia kwa mia....na hili lilianzia kwenye Baraza la mawaziri la kikwete ambako magufuli naye ,akiwa waziri alikuwa ni mjumbe wa Baraza la mawaziri,wakalipitisha wakijua hizo shule za A-level zipo,kwa nini asingejiuzuru kama alikuwa anapingana?Tatizo mnaongea sanaaaaa ila maamuzi ya Magufuli hayarudi nyuma
Haiwezekani serikali ibebe mzigo wakati wangeweza enda soka A level
Inaonyesha mwalimu wako alipata tabu sana kukufundishaTatizo mnaongea sanaaaaa ila maamuzi ya Magufuli hayarudi nyuma
Haiwezekani serikali ibebe mzigo wakati wangeweza enda soka A level
Na uliosababisha maumivu na usumbufu wa hali ya juuKama hii kauli ya mtu wa ndani wa UDOM ni kweli basi hii serikali imetokota. Na utakuwa ni ukurupukaji wa hali ya juu!