Waliotimuliwa UDOM waibuka, watoa ya moyoni

Waliotimuliwa UDOM waibuka, watoa ya moyoni

Mmeamua kumchanganya ....kwa makusudi...ili mumnyime chama, siyo...!?
 
Kimsingi, Vyuo vya Diploma vifundishe diploma na Vyuo Vikuu (Maprofesa) vifundishe digrii!
na wewe ni Dr? vyuo vinavyotoa doploma vipo je varsities hutoa degree tuu? mimi najua hutoa kuanzia certificate na kuendelea!

Au umesahau systems za varsities bwana Dt
 
hii mjadala ungepitia bunge uhakika Serikali ingeshikwa pabaya,na hao wanafunz wangeendelea kusoma na kuajiriwa kwa lazima bila bunge mahakama ingeamua inaweza kutumika ila wanafunz wanatakiwa kukusanya vielelezo.
 
Huyo mtoto alireseat akaendelea acheni ushambenga matokeo ya kureseat hamna mnaongea kishiranga kishambenga kikunanku kishombondokoloko kitawaponza
Tunaomba tokeo lake la ku risit
 
Nani kawatuma kujitetea??? Je hawajui rais anavyombo vya uchunguzi (TISS) na kuwa hawezi kuongea kitu bila facts?? Nadhani kwa dharau yao hii itabidi wasirudishwe UDOM, na watasambazwa kwenye vyuo vya ualimu, asiyetaka aache. Serikali haiwezi kutumia njia ya mkato.
Hata pale walikuwa wanasomea ualimu.
 
Magufuli ni dikteta. Hasikilizi watu. Anajifanya anajua kila kitu kwa sababu anajua boiling point ya silver. Hata hotuba anazoandikiwa baada ya watu kufanya uchunguzi hazisomi anasema tofauti.
Mwanangu kuwa macho na posts zako kuna sheria kandamizi za mtandao
 
Kama tatizo ni div 4 kwa nin chuo kisingefanya uhakiki ili wasio na sifa ndio waondolewe
 
Mwanangu kuwa macho na posts zako kuna sheria kandamizi za mtandao
Hiyo ndiyo naitaka niende kui challenge mahakamani.

Mimi naongea haya mambo kwenye forums ambazo zina jina langu. Ambazo zina mawaziri wa Magufuli. Wananijua. Tulikuwa tunongea nayo hayahaya kabla hawajawa mawaziri.

Sembuse hapa.
 
Ok lkn unaweza kuichallenge ukiwa huru
Hata hapa naichallenge nikiwa huru. Hata mahakamani nitaichallenge nikiwa huru. Hata nikifungwa nitai challenge nikiwa huru.

Ukiogopa hata ukiwa nje hauko huru.

Ukichallenge vitu hata gerezani utakuwa huru.
 
Hata hapa naichallenge nikiwa huru. Hata mahakamani nitaichallenge nikiwa huru. Hata nikifungwa nitai challenge nikiwa huru.

Ukiogopa hata ukiwa nje hauko huru.

Ukichallenge vitu hata gerezani utakuwa huru.
Nchi hii haina haki hata kidogo kipindi hiki. I will not encourage you to become a dead hero. Ok have a nice sunday
 
Nchi hii haina haki hata kidogo kipindi hiki. I will not encourage you to become a dead hero. Ok have a nice sunday
I am not looking to be a dead hero.

Hawawezi kunifanya lolote.

Nina "insurance policy" ambayo wao wenyewe wanaijua.
 
Absolutely, internal confusion. Kama ndani ya serikali moja Rais na waziri wanatofautiana kauli huku Rais akisema "Naunga mkono uamuzi wa waziri wa Elimu". Sababu alizotoa waziri Ndalichako ni tofauti na zile za Rais ila cha ajabu Rais anasema anamuunga mkono waziri. Hawa viongozi wote ni walimu na sitaki kuamini kama hawajasoma "Education Psychology", hivi wameshindwaje kujua madhara ya hatua na kauli zao kwa watoto hawa?
 
Inawezekanaje wanafunzi wooote 7000 wakawa hawafai. Hakukuwapo hata 200, hata 100, hata 19 wazuri???!!!! Nina wasiwasi Mkubwa. Inawezekana kabisa mkuu wa nchi akawa na allergy ya kulipa madeni makubwa has a yanapofika mezani kwake kama wazuri wa fedha no2. Hiki ni kisingizio tu na ndio maana anasema nilikuwa natafuta sababu tu ili niwafukuze. Si jambo jema mlezi wa taifa kutafuta sababu za kuadhibu watu wake. Ajitafakari na laweza kuja tatizo kubwa badala ya kulitatua akaliongeza zaidi. Mfano mzuri ni sukari.
 
Back
Top Bottom