Waliotimuliwa UDOM waibuka, watoa ya moyoni

Waliotimuliwa UDOM waibuka, watoa ya moyoni

Nakumbuka Magufuli alisema

'wachina ndio marafiki wa kweli wengine ni wanafiki'

huku tz ikitegemea na kupokea misaada toka US na UK na Kikwete akasema misaada kwa sasa ni muhimu
'wanaopita mwendokasi chomoeni matairi muuze'

alisema hivyo kwa tone ya kusisitiza wala sio ya utani kwenye tv ya taifa na mbele ya balozi wa China

'wanaficha sukari ndio maana inapanda bei, na tutakamata sukari yao tutagawa bure, serikali ya magufuli haishindwi'

mpaka leo hii nyie wote ni mashahidi juu ya hili swala la sukari lilivyo


'sukari inayoagizwa nje ni ya bei nafuu kwa kuwa inakuwa imekwisha expire na haifai kwa matumizi ya binadamu'

huyu mkulu hii kauli hana uhakika nayo, na ni ya kukurupuka pia

'tulishindwa kesi ya samaki kwa kuwa DPP alikuwa amewapunguzia mashitaka'

huku akiwa hana uelewa mzuri juu ya sheria na hakuwa na uhakika walishindwa kwa sababu gani.


' migomo mingine inamalizwa kwa kufukuza tu, nilikuwa nasubiria na wanafunzi wengine wa Dodoma wagome, wangeondoka wote!!'

list ya kauli tata ni nyingi hapa ni chache tu.......

gazeti la Economist liliandika Huyu rais ni mzuri lakini ni mkurupukaji, ikulu ikatoa taarifa rasmi ya kupinga......
Na la kusikitisha zaidi kauli hizi tata zisizokuwa na maana hazikukosa washangiliaji na wapiga makofi.
 
Usimsemee, yeye si ana ultimate powers he does not need anybody on earth to consult, let it remain so!
Yaani mpaka lumumba nzima Leo imepotea humu...kweli wamemchoka ....hataki kusikiliza la mtu ....yeye ni fukuza...tumbua...mtanijua mimi ni magufuli....wangegoma ningefukuza wote....toeni tairi mkauze...ogeleeni....
 
Baba jesca kesha waambia mtafute vyuo saiz yenu sasa sijui mnahangaika nn?
 
Yaani mpaka lumumba nzima Leo imepotea humu...kweli wamemchoka ....hataki kusikiliza la mtu ....yeye ni fukuza...tumbua...mtanijua mimi ni magufuli....wangegoma ningefukuza wote....toeni tairi mkauze...ogeleeni....
Asante looks umeielewa nchi yako
 
Wasomi wetu hawafanyi tafiti za kutosha wanakopi tuu ndio maana wakipata uongozi unashangaa mtu msomi anakua na maamuzi ambayo sio sahihi kwa jamii...
Kama style yenyewe ya uongozi ndio hii,hata jescar anaweza kuwa kiongozi mkubwa kabisa wa Nchi
 
....mzee Mkapa hakukosea, ni wazi "malofa" na "wapumbavu" wamejaa, Trump naye hakukosea kusema bado nchi za kiafrika zinahitaji miaka mia mingine kutawaliwa kikoloni, hoja ya Trump haitofautiani sana na Mkapa, ni kwamba malofa na wapumbavu bado wengi!! The Excellence Dk. Magu, yeye ndo kasiliba kabisa "vilaza", kwani uongo? Rais alikuwa wazi kwamba kuna div one, two, three na ama four zilikuwepo kwa waliokuwa wanachukua kozi special pale UDOM, akaenda mbali kidogo kwamba wenye sifa watatafutiwa nafasi!!! SASA MNATOKEA VILAZA KWA KUHITAJI HURUMA MNAAMINISHA UMMA KWAMBA RAIS AMEITA WOTE VILAZA, KWA HOJA JUMUISHI, mi nasema huu ni ujinga na ni ukilaza wa hali ya juu!!!!
mkuu kwenye hesabu kuna principle yq negation i am trying negate what you have written! hata kama ni mahaba you have gone beyond.

Kwanza, sijui unajua age ya form four wa sikuhizi? say miaka 15 hivi then add miaka miwili it is miaka 17? you have a 17yr old kid? ni mtoto mdogo mno, kama hauna nenda barabarani find one! ni mtu ambaye bado anahitaji maximum supervision, unaweza ukamfukuza usiku mtu wa age hiyo bila nauli? can he/she manage stress like a grownup like you?

Pili, raisi ni mtu mzima na bahati nzuri mwalimu aliyesomea psychology like other teachers, unaona sawa kuwaita watoto kama hao vilaza ukizingatia inawezekana kwa age hiyo wengi hata hawajitambui? think big!
 
CHIWASO, tuko ukurasa mmoja, japo mimi nimetumiwa maujumbe ya vitisho kuwa nnatafutwa.
Ni ngumu sana kutengeneza logic ya anachofanya mkuu.
Angekuwa ni waziri ameongea pale UDSM, immediately baada ya hotuba angepimwa ulevi.
Yani ukilinganisha hotuba yake na majibu ya Kitwanga bungeni, Kitwanga was better maana hakutukana mtu na hakutoka nje ya mada kivile, labda tu muonekano na lafudhi.
Ila haya majibu ya mkuu...mh! Kuna haja ya wataalam kutuambia kama hii ni hali ya kawaida.
 
Nashindwa kuelewa hawa wadogo wanaweweseka nn kama wengi wanasifa yaan dv 1 na 2 na Rais kasema wenye division hizo anawaandalia utaratibu warudi chuo kusoma?

Endeleeni kudanganywa na wanasiasa hata nyie wenye sifa mlioambiwa mtarudi chuoni hamtarudi.
 
Kale kasheria ka mtandao kanatubana,maana tungemdescribe vizuri Mheshimiwa mtukufu wetu
Aah wapi,amezidi kwa hili sheria tuiweke pembeni tu haiwezekani kuwaita watoto wa wenzake wenye ufaulu mzuri vilaza na awafukuze chuo ilhali mwenyewe ana mtoto kilaza anaeendelea na masomo....angekuwa anamaanisha huyo mwanae nae angemfukuza chuo otherwise ni uonevu,mambo kama haya ndipo utakapoona unafki wa viongozi wetu,manaeno mawili matatu anamtaja Mungu kumbe sanaa tu yakutafuta kupigiwa makofi.
 
Aah wapi,amezidi kwa hili sheria tuiweke pembeni tu haiwezekani kuwaita watoto wa wenzake wenye ufaulu mzuri vilaza na awafukuze chuo ilhali mwenyewe ana mtoto kilaza anaeendelea na masomo....angekuwa anamaanisha huyo mwanae nae angemfukuza chuo otherwise ni uonevu,mambo kama haya ndipo utakapoona unafki wa viongozi wetu,manaeno mawili matatu anamtaja Mungu kumbe sanaa tu yakutafuta kupigiwa makofi.
Jamaa mnafiki sana,anakazana kusema msemakweli ni mpenzi wa Mungu kumbe uongo mtupu.Nadhani awamu hii kazi tunayo.
 
Ngoma inogileee.......[emoji310][emoji432]
 
WAKATI TUPO KWENYE KAMPENI KUNA WALIOSEMA WAPINZANI TUTAISOMA NAMBA HHHH
SASA NAONA NAMBA INASOMEKA KWA WOTE
 
Kimsingi, Vyuo vya Diploma vifundishe diploma na Vyuo Vikuu (Maprofesa) vifundishe digrii!
 
Huyo mtoto alireseat akaendelea acheni ushambenga matokeo ya kureseat hamna mnaongea kishiranga kishambenga kikunanku kishombondokoloko kitawaponza
Kihongwe wewe. Yalete hayo matokeo ya kureseat!! Kama hauna funga hilo bakuli lako.Watu tumechoshwa na mambo ya kipuuzi ndani ya nchi hii wewe unaleta upuuzi wako.
 
Vipi wote wakiwa na vigezo? Ndio vijana wamejitokeza wanasema hajuna Div 4 sijui kama unaelewa! Masaburi!!!
Rais alieleza waziri wa elimu anafanyia kazi waliofukuzwa na kuona wale wenye ufaulu watataftiwa maeneo ya kuendelea na masomo sasa hizi kelele za nini hii inadhhrisha kuwa baadhi yao kuna vilaza
 
Vipi wote wakiwa na vigezo? Ndio vijana wamejitokeza wanasema hajuna Div 4 sijui kama unaelewa! Masaburi!!!
kwani shida nn wenye vigezo washaambiwa wanaandaliwa utaratibu ikiwa ni pamoja na kutaftiwa wakufunzi sasa wanaweweseka nn?
 
Kihongwe wewe. Yalete hayo matokeo ya kureseat!! Kama hauna funga hilo bakuli lako.Watu tumechoshwa na mambo ya kipuuzi ndani ya nchi hii wewe unaleta upuuzi wako.
Umelijibu vizuri takataka hilo
 
WAKATI TUPO KWENYE KAMPENI KUNA WALIOSEMA WAPINZANI TUTAISOMA NAMBA HHHH
SASA NAONA NAMBA INASOMEKA KWA WOTE
lazima mambo ya msingi yazingatiwe elimu sio siasa tena asiishie hapo wapite vyuo wote ambao walipenya bila sifa wawafix wanapostahili
 
Back
Top Bottom