Walioongopea Kamati Watakiona - Dr. Mwakyembe

Nimefanya mahojiano na Dr. Mwakyembe muda mfupi uliopita na amejibu baadhi ya maswali ambayo watu wanayo.. MoD.. unaweza kuiunganisha hii na ile ya Halisi kuhusu "Breaking News - Kamati ya Richmond BALAA". Nitawawekea mahojiano hayo muda si mrefu ujao bila ya kuya edit, cut au mixing.. !

Unatuwekea wapi? KLH News ama Bongo Radio? Naomba pia uwe specific na time ili wale tulio online tuweze kuwahi kusikiliza matangazo hayo.
 
[media]http://mwanakijiji.podomatic.com/enclosure/2007-12-13T09_54_29-08_00.MP3[/media]

Press Play
 
[media]http://mwanakijiji.podomatic.com/enclosure/2007-12-13T09_54_29-08_00.MP3[/media]

Press Play

Ni mimi tu au hapa hii player inaleta matatizo kidogo, sauti inakimbia sana kama vikatuni yaani husikii kitu.
 
Mwanakiji kama unataka kwenda LIVE uwanja ni wako nistue tu nitafanya remote connection.
 
...ya BOT bado haijatoka na wala sioni ikitoka lini na inawezekana isitoke kabisa hapo mpaka nione final report ikienda public na muungwana aki act accordingly la sivyo bado ni usanii tuu!
 
Mwanakiji kama unataka kwenda LIVE uwanja ni wako nistue tu nitafanya remote connection.

mzee hapo umenipa wazo.. ngoja nikutumie maana podomatic hadi waibadili format nadhani ndio maana player inakimbia. Nitakutumia unedited..
 
Hii kitu haisikiki inakimbia kama formula one. Vipi haiwezi kurushwa KLH baadaye?
 
Naona nimekwama hapa; itabidi niifanyie editing toka studio.. maana haya ya mobile technology bado siko savy..
 
hahahahahaha shetani gani huyo, kwani file ina ukubwa gani? umesahau password pale EastAfricantube ili ni-reset?
 
Hatuchelewi kusema Kuna mkono wa mtu (CCM :)) lol!

I doubt they have a cyber-espionage department.
 
Hongera MKJJ. ume-conduct very interesting interview. japokuwa hukupenda kuingia kwa undani kuuliza maswali zaidi kuhusu hizo taarifa zinazogongana
 
Back
Top Bottom