katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
- Thread starter
- #141
Bado nataka niwapate kwako ukimaliza shule
Sawa mama watoto
Ha ha ha alikuwa chenga mingi sana. Anaendelea KujifunzaI thank JF katoto kazuri Sasa anaweza kuandika[emoji23][emoji23]
Eh mwayaHa ha ha alikuwa chenga mingi sana. Anaendelea Kujifunza
Sikia upuuzi upi bhana si kweli ukiangalia wanawake wengi hawataki single men wanataka marriage men why they know how to care.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini..Mie ningekuwa mwanaume nisingeoa
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo hivo unataka kutuingiza kwenye mtego wa kumuoa Mariam biriani
Ngoja nitafute nyumba ndogoKama wewe hujaoa basi jua wewe ni mwoga wa maisha na huwezi kusimamia maisha yako vilivyo na umejificha kwenye sketi ya mama yako.
Wala hujiamini wala sio mtu wa kudhubutu hata kama unahela wewe bado hujiamini.
Nautakuwa hujipendi na hali ya sasa unaogopa kuwa mume wa mtu.
Nawapa hongera wote waliioa na nyie ni wanaume waukweli .
Nawasilisha uzi huu wa ijumaa kuu.
Msilie oeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana wanaume walioa wanamademu wengi kuliko single boys tu.
Haya sawa katafute ila usisahau kuleta mrejeshoNgoja nitafute nyumba ndogo
Ha ha aha Msemo gan tena joanah
Sikia upuuzi upi bhana si kweli ukiangalia wanawake wengi hawataki single men wanataka marriage men why they know how to care.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmecheka yule chai ya Afrika[emoji16][emoji16][emoji16]Ndo hivo unataka kutuingiza kwenye mtego wa kumuoa Mariam biriani