Waliooa ni vijembee nawakubali

Waliooa ni vijembee nawakubali

Mimi mwenyewe sijaelewa ulichoandika. Naona kila sehemu umezidisha mara 4. Sjajua nne ni nini
Unamademu 4 kwa wiki wakija unawapa kila mmoja 50 na ukipiga 50×4 unapata laki 200 na 200 x (wiki nne za uhongaji) 4 unapata laki 800 umenielewa sasa hii ingeweza kuinua familia kwa mwezi na wewe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie wajitambue mf. Kila demu wako unampa 50 ×4 kwa wiki ni 200 je 200×4 ni laki 800 sasa jiulize swali hiyo ukioa haitasaidia familia ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa stress utakazopata unaweza poteza hela mara mia ya mahesavu ulipiga bila kujua lakini, unaweza furahia ndoa only ukibahatika kupata mwanamke anayejitambua ambao ni wachache sana kwa zama hizi, kwa sahiv kuoa ni kama kubet tatu mzuka
 
Back
Top Bottom