Tunajua tunataka ndoa ila mpaka sasa naogopa kupata stress.[emoji23][emoji23] kweli wanawake hamjui mnachota!!
Why?Katoto kazuri hua kanaishi kwenye ulimwengu wa peke yake. Yani mawazo na akili zake ni nje ya uhalisia!
She lives in a bubble!
As you grow up, the bubble will bust sweetheart!
33 na 34 na 35 ndio muda mzuro wakuoa kipato kama unaweza panga self na unakula vizuri wewe unakazi na yeye anayo mnasaidiana majukumu mtoto anaishi vizuri usioe mwanamke ambaye hapendi maendeleo yako kabisa.
Anayekupendea hela ndio mmbaya kabisa.
Kuna ile mtu anashida kweli nakunahuyu kila leo yeye hela tu.
Sasa jamani mtaishije na mnamajukumu mengi?
Chagua mwanamke mwenye uchungu na wewe na mali zako.
Ukiishiwa hakuachi yupo na wewe beneti ila kwa huyo ambaye anakukimbia dah bora uwe single halafu awe na heshima upendo na msikivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaKwa mara ya kwanza leo umeandika comment bora mno [emoji122][emoji122][emoji122]
Njoo karibu kabisaKumbe nina karibia muongo mzima wa kujipanga ...kwenu kuna jinsi ke mwenye sifa ulizotaja yaani mwenye uchungu na Mali yangu, heshima na usikivu nataka nije
You'll start to see the real colours of the world. Ndoa sio jambo la kukimbilia. 75% ya wanaume hua wanaingia kwenye ndoa bila kupenda. Matokeo yake ni migogoro isiokwisha!
sio wote lknInawezekana ningekuwa hivyo ama kinyume chake
Kimsingi point yangu ya ningekuwa mwanaume nisingeoa ni sababu ya namna navyoona waume za watu walivyo siku hizi...ni heri wasioe kwa mambo wanayoyafanya
Nimewahi ishi na mtu so huniambii chochote eti cha ndoa.You'll start to see the real colours of the world. Ndoa sio jambo la kukimbilia. 75% ya wanaume hua wanaingia kwenye ndoa bila kupenda. Matokeo yake ni migogoro isiokwisha!
You're walking in the air, someone needs to bring you back on the ground!
Ni vyema tu, usinyongee huyo amekuwa muungwana kukupongeza wengine tumekaa kimya hatujakipongeza kwa maendeleo.
Sijakuelewa ila hongera zake .Ni vyema tu, usinyongee huyo amekuwa muungwana kukupongeza wengine tumekaa kimya hatujakipongeza kwa maendeleo.
Toa sababu za kuonesha kuoa ni jambo jema
Mie ningekuwa mwanaume nisingeoa
Mie ningekuwa mwanaume nisingeoa
Mie ningekuwa mwanaume nisingeoa
Kwa nini yaniMie ningekuwa mwanaume nisingeoa
Kusini...kaskaz...west au east mwa 255?
1 . Unakuwa msafi mwenye afya mwenye kujipenda.Toa sababu za kuonesha kuoa ni jambo jema
Kumbe kweli SAA MBOVU KUNA MUDA INAKUWA SAWA.Usihonge kama hana mpango wakuolewa na wewe.
Bora uwekeze kwenye biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app