Waliooa ni vijembee nawakubali

Waliooa ni vijembee nawakubali

Umeandika wakiwa single wanahonga Malaya hela zinaisha Bora waoe halafu ukasema wanaume walioa wanajua kucare that means wanatoa pesa na penzi motomoto , zezeta ukamalizia ukioa unapata mademu wengi..

Mwisho wa siku maana yako ilikuwa ukiwa single unatumia hela nyingi sababu unakuwa na mademu wengi

Humu Jf Kuna baadhi ya wanawake wajinga sana ni vile tu huwezi mdharau tu mwenye Id fake unaweza mdharau mwanamke kumbe mwanaume..
Hivi hadi umtukane mtu libichwa lako ndio linaridhika sasa sikutukani bakia na tabia za kike leo ni siku za amani sina haja za dhambi na watu kam[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]a wewe .
 
Mna raha sana nyie mnakula gegedo muda wowote.
Sio bure apo lazima ugharamie familia ndugu ndo wajibu wetu ma husband.
Unahakikisha kila kitu kiko sawa,utakuja ugegede watoto hawajala au ujaacha matumizi au mradi wa mama watoto ili kukidhi mahitaji ya kifamilia ni muhimu.
 
Sio wakwe wote utawakuta wananjaa
 
Sio bure apo lazima ugharamie familia ndugu ndo wajibu wetu ma husband.
Unahakikisha kila kitu kiko sawa,utakuja ugegede watoto hawajala au ujaacha matumizi au mradi wa mama watoto ili kukidhi mahitaji ya kifamilia ni muhimu.
Hata kama bwana bado mnaraha
 
Back
Top Bottom