Waliooa ni vijembee nawakubali

Waliooa ni vijembee nawakubali

Kama wewe hujaoa basi jua wewe ni mwoga wa maisha na huwezi kusimamia maisha yako vilivyo na umejificha kwenye sketi ya mama yako.
Wala hujiamini wala sio mtu wa kudhubutu hata kama unahela wewe bado hujiamini.
Nautakuwa hujipendi na hali ya sasa unaogopa kuwa mume wa mtu.
Nawapa hongera wote waliioa na nyie ni wanaume waukweli .
Nawasilisha uzi huu wa ijumaa kuu.

Asante sana katoto kazuri. Hujambo lakini? Njo basi unipongeze binafsi
 
Sawa katoto kazuri, vp kuhusu wewe lakini umeolewa au bado??
Kama wewe hujaoa basi jua wewe ni mwoga wa maisha na huwezi kusimamia maisha yako vilivyo na umejificha kwenye sketi ya mama yako.
Wala hujiamini wala sio mtu wa kudhubutu hata kama unahela wewe bado hujiamini.
Nautakuwa hujipendi na hali ya sasa unaogopa kuwa mume wa mtu.
Nawapa hongera wote waliioa na nyie ni wanaume waukweli .
Nawasilisha uzi huu wa ijumaa kuu.
 
Kama wewe hujaoa basi jua wewe ni mwoga wa maisha na huwezi kusimamia maisha yako vilivyo na umejificha kwenye sketi ya mama yako.
Wala hujiamini wala sio mtu wa kudhubutu hata kama unahela wewe bado hujiamini.
Nautakuwa hujipendi na hali ya sasa unaogopa kuwa mume wa mtu.
Nawapa hongera wote waliioa na nyie ni wanaume waukweli .
Nawasilisha uzi huu wa ijumaa kuu.
Njoo nikuoe katoto, mie najipenda!
 
Kwa stress utakazopata unaweza poteza hela mara mia ya mahesavu ulipiga bila kujua lakini, unaweza furahia ndoa only ukibahatika kupata mwanamke anayejitambua ambao ni wachache sana kwa zama hizi, kwa sahiv kuoa ni kama kubet tatu mzuka
Hahah kweli...Watu wanaoa kwa mbwembwe ila after a few years mtu anarudia tabia za u single maana nyumba inawaka moto. Mke haeleweki. Majukumu yake hatimizi basi tafrani!
 
Back
Top Bottom