Waliooa ni vijembee nawakubali

Waliooa ni vijembee nawakubali

Kwa kufupisha habari ni kwamba ulisogezwa. Alafu tayari unadhani umeshakua marriage expert?

Grow up!
Mimi ni expert wa ndoa kurudi usiku au kuwapiga wadada au kufumania au kunyimwa mahitaji muhimu ya kila siku au kufukuzwa home kabisa.
Au nini au kuziriwa unyumba au kuteswa kitu tu ambacho hajafanya hapo hajawahi kunifukuza home kwake ila.vyote kafanya .
Hakuna jipya mpaka unawapikia malaya ukizania mawifi.
Wewe usione cha mwenzako ni rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 . Unakuwa msafi mwenye afya mwenye kujipenda.
Unafuliwa unapikiwa unapewa penzi kwa tani yako haulipii kitu yako kila baada ya service.
2.Unapata baraka mbali mbali hata kazini unapeza kuomba uzuru ukapewa kazi zako sio unapewa nyingi ili uchelewe home na kama ni dharura anaitwa masingle boys wakamalizie kazi.
3.unapewa bahati bahati urudi mikono mitupu unakuwa unaraha hata mlikwazana couse furaha ya watoto wako wakupa moyo wakujituma.
4.Mara nyingi huna wasiwasi wanani atafanya majukumu ya home.
5.Unakuwa unapanga vitu vya kujenga kuliko kubomoa .
Kama ijumapili pasaka sikuku hiyo unaenda na familia kuenjoy.
Ila wewe single men wanaenda kusaka magonjwa.
Supermarket unanunua vitu vya watoto yeye ananunua condom na bia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliyoyaandika hapo ni mambo ya kufikirika. Hayako directly connected to marriage hivyo sio guarantee kwamba mtu akioa atayapata hayo.
 
Mimi ni expert wa ndoa kurudi usiku au kuwapiga wadada au kufumania au kunyimwa mahitaji muhimu ya kila siku au kufukuzwa home kabisa.
Au nini au kuziriwa unyumba au kuteswa kitu tu ambacho hajafanya hapo hajawahi kunifukuza home kwake ila.vyote kafanya .
Hakuna jipya mpaka unawapikia malaya ukizania mawifi.
Wewe usione cha mwenzako ni rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa matendo hayo kama ni ya kweli basi moyo wako una maumivu sana.
 
Back
Top Bottom