Waliooa ni vijembee nawakubali

Waliooa ni vijembee nawakubali

We ungekua na kaka au hao kaka zako wasioa ungewashauri waoe wakiwa na umri gani au kipato kiasi gani
33 na 34 na 35 ndio muda mzuro wakuoa kipato kama unaweza panga self na unakula vizuri wewe unakazi na yeye anayo mnasaidiana majukumu mtoto anaishi vizuri usioe mwanamke ambaye hapendi maendeleo yako kabisa.
Anayekupendea hela ndio mmbaya kabisa.
Kuna ile mtu anashida kweli nakunahuyu kila leo yeye hela tu.
Sasa jamani mtaishije na mnamajukumu mengi?
Chagua mwanamke mwenye uchungu na wewe na mali zako.
Ukiishiwa hakuachi yupo na wewe beneti ila kwa huyo ambaye anakukimbia dah bora uwe single halafu awe na heshima upendo na msikivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa stress utakazopata unaweza poteza hela mara mia ya mahesavu ulipiga bila kujua lakini, unaweza furahia ndoa only ukibahatika kupata mwanamke anayejitambua ambao ni wachache sana kwa zama hizi, kwa sahiv kuoa ni kama kubet tatu mzuka
Kwa hapo umeongea sahihi bwana .
Kabisaa sio uongoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachotofautiana ni matumizi tu ya pesa. uwe single uwe umeoa, hela yako lazima itaenda kwa mwanamke.
Ujumbe wangu ni huu hata uwe malaya kiasi gani kama unafamilia wewe nitnofauti kabisa na malaya ambaye hajaoa mwenzio anachakujivunia na nia familia yeye ni mume wa mtu wewe ni mume wa kila mtu ndio tofauti yako na yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe wangu ni huu hata uwe malaya kiasi gani kama unafamilia wewe nitnofauti kabisa na malaya ambaye hajaoa mwenzio anachakujivunia na nia familia yeye ni mume wa mtu wewe ni mume wa kila mtu ndio tofauti yako na yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unashauri watu waoe ili wawe na cha kujivunia. Hakuna sababu nyingine ya msingi ?
 
Kama wewe hujaoa basi jua wewe ni mwoga wa maisha na huwezi kusimamia maisha yako vilivyo na umejificha kwenye sketi ya mama yako.
Wala hujiamini wala sio mtu wa kudhubutu hata kama unahela wewe bado hujiamini.
Nautakuwa hujipendi na hali ya sasa unaogopa kuwa mume wa mtu.
Nawapa hongera wote waliioa na nyie ni wanaume waukweli .
Nawasilisha uzi huu wa ijumaa kuu.
Msilie oeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana wanaume walioa wanamademu wengi kuliko single boys tu.
Unakuwa na mademu halafu umeoa? Huu nauita ulimbukeni!! Bora utumie kwanza mpaka iote sugu kisha ndo uoe.
 
33 na 34 na 35 ndio muda mzuro wakuoa kipato kama unaweza panga self na unakula vizuri wewe unakazi na yeye anayo mnasaidiana majukumu mtoto anaishi vizuri usioe mwanamke ambaye hapendi maendeleo yako kabisa.
Anayekupendea hela ndio mmbaya kabisa.
Kuna ile mtu anashida kweli nakunahuyu kila leo yeye hela tu.
Sasa jamani mtaishije na mnamajukumu mengi?
Chagua mwanamke mwenye uchungu na wewe na mali zako.
Ukiishiwa hakuachi yupo na wewe beneti ila kwa huyo ambaye anakukimbia dah bora uwe single halafu awe na heshima upendo na msikivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mara ya kwanza leo umeandika comment bora mno 👏👏👏
 
nilifungua biashara, nikafungua nyingine, nikanunua assets, nikajenga, nikanunua gari yote hayo nimefanya under 30 years. sikuona umuhimu wa kuoa, nikajiuliza maswali bado sijafit kwenye society, na mali zangu atarithi nani? nikachukua maamuzi ya kuoa. niko kwenye ndoa watoto wawili, biashara zinaenda vizuri, na enjoy maisha ya familia na ndugu zangu wananiheshimu sana.
Very nice umeona baraka tele unazopata sasa waambie hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom