katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
- Thread starter
- #21
Haya bhana sawaHaka Kalikuwa hakajui kuandika..Ngeli Chenga.. ila ameimprove kinoma sikuhizi.. nampa Bigup!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bhana sawaHaka Kalikuwa hakajui kuandika..Ngeli Chenga.. ila ameimprove kinoma sikuhizi.. nampa Bigup!
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mhn! hooooo mama tetema! hizo ndoa tetema! ohhhhhhhhhhoo mama tetema!
Uko sahihi mkuu!!Kwa wanawake labda ni baraka ila kwa sisi wanaume ni mzigo wa misumari.
Eh kumbe sijajuaKuoa (hasa kuoa mapema) no chanzo cha umasikini.
Kuoa (hasa kuoa mapema) no chanzo cha umasikini.
Wapi ameandika kizungu?
Leo hujaandikiwa KK.Kama wewe hujaoa basi jua wewe ni mwoga wa maisha na huwezi kusimamia maisha yako vilivyo na umejificha kwenye sketi ya mama yako.
Wala hujiamini wala sio mtu wa kudhubutu hata kama unahela wewe bado hujiamini.
Nautakuwa hujipendi na hali ya sasa unaogopa kuwa mume wa mtu.
Nawapa hongera wote waliioa na nyie ni wanaume waukweli .
Nawasilisha uzi huu wa ijumaa kuu.
Msilie oeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana wanaume walioa wanamademu wengi kuliko single boys tu.
Mie ningekuwa mwanamke nisingeolewaMie ningekuwa mwanaume nisingeoa
Ni hivi ili ndoa yoyote idumu na iwe na mafanikio lazima focus yote iwe kwa mwanamke. Kwa maana hiyo mwanaume anatakiwa ajikane ili kumridhisha mwanamke kitu ambacho ni kigumu kutokana na nature yenu nyie wanawake ya kuwa mysterious (kutosomeka kwa urahisi)
Hata mimi niliwahi kuyasema maneno haya......Mie ningekuwa mwanaume nisingeoa
Ndio ujue sasa. Ndoa (kuwahi kuoa) ni chanzo cha umasikini kwa mwanaume.
Nimependa zaidi hapo kwenye umaliziaji...[emoji39][emoji39][emoji39]Kama wewe hujaoa basi jua wewe ni mwoga wa maisha na huwezi kusimamia maisha yako vilivyo na umejificha kwenye sketi ya mama yako.
Wala hujiamini wala sio mtu wa kudhubutu hata kama unahela wewe bado hujiamini.
Nautakuwa hujipendi na hali ya sasa unaogopa kuwa mume wa mtu.
Nawapa hongera wote waliioa na nyie ni wanaume waukweli .
Nawasilisha uzi huu wa ijumaa kuu.
Msilie oeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana wanaume walioa wanamademu wengi kuliko single boys tu.
Waambie wajitambue mf. Kila demu wako unampa 50 ×4 kwa wiki ni 200 je 200×4 ni laki 800 sasa jiulize swali hiyo ukioa haitasaidia familia ??Hata mimi niliwahi kuyasema maneno haya......
Kumbe it was a matter of time
Kweli Africa watu wengi maskini kwasababu ya kuona ndoa kama ni kipimo cha mafanikio.Ndio ujue sasa. Ndoa (kuwahi kuoa) ni chanzo cha umasikini kwa mwanaume.
Oh siukweli kwani uongo usiwadanganye watu wasioe watulie na familia zao wewe ndio unawapotosha kabisa .Kwahiyo siku hizi mnalazimishana kuoa?
Au mnafikiri ndoa ni kama kato kila mtu anayo? Bora hao walojijua hawafit kuoa wakaamua kutokuoa kuliko walolazimisha mwisho wa siku wanaidhalilisha tu taasii ya ndoa.
Sasa umewasifia walooa alafu humo humo ukaelezea upuuzi wao, unaelewa kweli unachoongelea au stress?