Waliooa ni vijembee nawakubali

Waliooa ni vijembee nawakubali

Oh siukweli kwani uongo usiwadanganye watu wasioe watulie na familia zao wewe ndio unawapotosha kabisa .
Kila mtu anayejitambua anatakiwa aoe kwa maana kama unalipwa mshahara malaya wanakula nakuwaletea magonjwa ndio nini bora mtu aliyeoa akifurahia maisha maana hata ijioni anarudi kwake anapokelewa na watoto wao wanaingia kama mizimu au wafu no sound no wife no kids sio sifa hiyo kaa ujue hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeaoa? If not unasubiri nini?

Unaelewa maana ya ndoa kweli we mtoto au unajua ni kuzaa tu na kupokelewa na watoto?

Waache watakapojielewa na kuelewa maana ya ndoa wataoa.
 
Write your reply...hii Mada yako inaonyesha wewe ni popoma kichwan hamnazo


wadau mkitaka muamini huyu manzi hamnazo embu someni chini amemaliziaje kweny thread yake
 
Kwahiyo siku hizi mnalazimishana kuoa?
Au mnafikiri ndoa ni kama kato kila mtu anayo? Bora hao walojijua hawafit kuoa wakaamua kutokuoa kuliko walolazimisha mwisho wa siku wanaidhalilisha tu taasii ya ndoa.


Sasa umewasifia walooa alafu humo humo ukaelezea upuuzi wao, unaelewa kweli unachoongelea au stress?

Huwa anaandika point ila ndani ya points zake lazima aharibu sehemu

Uzi wake ni mzuri ila ukisoma mstari wa mwisho unaona kaharibu
 
Back
Top Bottom