Waliooa, naombeni msaada

Waliooa, naombeni msaada

Suala la libido kuwa ipo chini, nakubaliana na wewe kuwa ni tatizo lipo, Ila niamini case nyingi kwa wanawake kutoipenda sex kunaihusisha zaidi hisia..!!
Mkuu haya Maisha watu wanapitia Mambo Mengi so Mtu kuanzisha thread haitoshi kuonesha kuwa kila kitu kipo sawa . Katika Maisha yake
 
asikudanganye awaye kiumbe yoyote mkuu, hakuna mwanamke hapendi sex, ila tunachukia kufanya na watu tusio na hisia nao, Mimi mwenyewe nikiwa sikupendi nitakuambia nachukia sex mno, ila kiukhalisia nikiwa na mtu ninayempenda hata nikimtazama tu ninalowa...!!
Carleen [emoji1732][emoji28]
 
mbona kabla ya mimba alikua na hyo hyo tbia ya kutopenda kusex..ndo nikamuambia nkimuoa abadilike..akaniahidi..lakini wapii..na before hapo kuna mdau alimtoleaga barua demu akaipiga chini na kunikubali mimi..
Huyo ana mapepo mahaba yanampelekea moto ktk ulimwengu wa gizani na kumfurahisha zaidi akiwa huko, akiwa ktk ulimwengu halisi haoni chochote unachomridhisha zaidi ya kukuona we ni sawa na ng'ombe tu.

Wakuu hizi ndoa zinahitaji maombi mengi sana kwa imani imara.
 
kwahyo mkuu mke wa namna hyo ni wakumfanyaje
 
Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miezi 9 sasa. Cha ajabu toka ndoa mpaka leo mke hajawahi kua na hisia namie.

Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza. Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie, na hata nikianza sioni ushirikiano.

Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
Wapumbavu ni wengi Duniani ila wewe umewazidi. I'm sorry to say so.
 
Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miezi 9 sasa. Cha ajabu toka ndoa mpaka leo mke hajawahi kua na hisia namie.

Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza. Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie, na hata nikianza sioni ushirikiano.

Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
Alikubalije ndoa kama hana feelings na wewe? Au ndio wale wanaotamani ndoa halafu wanakosa wanaume wenye sifa wanazozitaka mwisho anakubali tu kuolewa na yeyote tu kuondoa aibu ya kuzeekea kwao?
 
Ulimtongoza mwenyewe akakubali kuwa na wewe bila shinikizo? If yes, ule wakati unabling nae kabla hujamuoa hakuwa na hiyo shida? Kama haikuwepo kwanini ijitokeze ghalfa?
ANZIA HAPO KUJIULIZA.

Ila kama ulitafutiwa huyo mwanamke, au labda mliamua kutokusex kabla ya ndoa..kisha umekuja kuibukia kwenye hiyo shida baada ya ndoa... Kuna uwezekano mkubwa shida ikawa ni, HISIA ZAKE KWAKO.
 
Back
Top Bottom